Je unajua kua listerine inatumika katika matumizi mengi?soma hapa

Ahsante sana kwa kutupa hii faida.

Hiyo ya kutakatisha mapaja, kwapa na hata kutowa harufu ya kikwapa, udongo wa Aunt Zainab ni namba moja. Huna haja ya kujisuguwa dakika tano wala kumi, unaupaka tu unaacha ukauke unauosha. Utaona aajabu.

Nnautumia ndiyo maana nnaujuwa. Mpaka zile zinaitwa: "liver spots" za usoni chini ya macho, nilikuwa nazo zimetoka mpaka nikashangaa na rangi haichubuki unabaki natural, Ajabu.
Huo udongo ntaupataje na being gani?
 
tuwekee picha tuone inavyopakwa kwenye mapaja!
 
Hahaha hii ni ahadi ya maandishi. Tena naamini utaipika kwa mkono wako [HASHTAG]#tehtehte[/HASHTAG]. Shahidi dada [HASHTAG]#FaizaFoxy[/HASHTAG]
[emoji23]Usinibebeshe dhambi banaaa,nkija ntakuletea nsipokuona je,ntaigawa
 
[emoji23] Dhambi ni kutonibebea zawadi zangu,Ukigawa ahlan wasahlan, angalau utalipwa kwa nia yako [emoji23] Na kwanini tusionane? Kumbuka nina zwadi zako pia [emoji23]
 
Zawad gan!!![emoji54] nambie kwanza,nkizipenda zawad zako itabid nije
 
Back
Top Bottom