elvee
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 1,110
- 1,625
Huo udongo ntaupataje na being gani?Ahsante sana kwa kutupa hii faida.
Hiyo ya kutakatisha mapaja, kwapa na hata kutowa harufu ya kikwapa, udongo wa Aunt Zainab ni namba moja. Huna haja ya kujisuguwa dakika tano wala kumi, unaupaka tu unaacha ukauke unauosha. Utaona aajabu.
Nnautumia ndiyo maana nnaujuwa. Mpaka zile zinaitwa: "liver spots" za usoni chini ya macho, nilikuwa nazo zimetoka mpaka nikashangaa na rangi haichubuki unabaki natural, Ajabu.