Je, unajua kuwa mwaka wa Wasukuma una siku 364 + 11?

Uhakika Bro

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2022
Posts
3,644
Reaction score
4,315
Tena mwaka wao walimaji huanzia mwezi wa 11. Miaka huhesabiwa kulingana na shughuli za kilimo. Mwezi wa kwanza ni mwezi ninaoandaa mashamba maana hiyo ndiyo shughuli ya kwanza.

Ukiwa mbabe na unajitambua, hadi mwaka unaweza kuubadili tu kufuata matakwa yako.

Wasukuma sio wa kwanza kufanya hivyo. Mfalme wa zamani huko aliyeitwa Augustus, sijui Augustino aliamuru kuwa mwezi unaoitwa jina lake hauwezi kuwa mdogo. Ni lazima uwe mkubwa na mrefu. Na ndio hadi leo mnaona July (siku 31) na August tena (siku 31)!

Kwani kama ni kuongeza siku si wangeuongezea mwezi wa pili huko! 🤔

Nisikuchoshe jisomee mwenyewe. Twende kazi;

20231207_083534.jpg

Kajile ka ng'waka na myatila ya Balimi

Shito sha bulamu wa Wasukuma shikalonga kafumile na kajile ka ng'weji mu nimo gw'ilima, gitumo bamayu bakabalilaga shiku jabo ulu bali budito "bakabala magito..." Ng'waka gwa Basukuma guli na shiku 354 + 11.

Himba mieji milebe ili na myatila ya heke ku nguno ya KULOMBA MBANGO.

Kwandya, twoleche ha silili kajile ka ng'waka;

November 1. Lubingo

December 2. Mili

January 3. Satu

February 4. Nne

March 5. Sano

Apr 6. Ntandatu

Mei 7. Mpungati

June 8. Nane

July 9. Nkenda gwa Nungula

Ago 10. Nkumi

Sep 11. Lyambalwa, Lyana lya Nkumi. Kinyela mu mbeho.

October 12. Igabanha. Lizukulu lya Nkumi

Yafumele mu shitabu sha Imani za jadi za kisukuma katika Misemo, hadithi, methali na desturi za maisha. Kamati ya utafiti wa utamaduni - Bujora 1988

Je unaifahamu miezi inavyoenenda katika jamii yako. Tiririka katika comments hapo. Karibuni🤝.
 
Hili kabila natamani sana lingekuwa kabila langu.. hiv siwez kubadili kabila?
Una uwezo wa kujifunza na kupractice mambo ya kabila lolote lile ukiamua.

Mie nimewasoma wakikuyu na baadhi ya mambo nimeyakubali.

Kuna kitabu kimeandikwa na Jomo Kenyatta mwenyewe kinaitwa Facing Mount Kenya.

So hata wewe kwa kujua tu kuna kitu fulani unao uwezo wa kuzichota faida zake.

Kwa habari zaidi hadithi na misemo ya wasukuma jiunge whatsapp channel hii Mengi zaid utayapata katika channel hii

Masala Kulangwa (Bhasukuma Channel) channel on WhatsApp: Masala Kulangwa (Bhasukuma Channel)
 
Tena mwaka wao walimaji huanzia mwezi wa 11. Miaka huhesabiwa kulingana na shughuli za kilimo. Mwezi wa kwanza ni mwezi ninaoandaa mashamba maana hiyo ndiyo shughuli ya kwanza.

Ukiwa mbabe na unajitambua, hadi mwaka unaweza kuubadili tu kufuata matakwa yako.

Wasukuma sio wa kwanza kufanya hivyo. Mfalme wa zamani huko aliyeitwa Augustus, sijui Augustino aliamuru kuwa mwezi unaoitwa jina lake hauwezi kuwa mdogo. Ni lazima uwe mkubwa na mrefu. Na ndio hadi leo mnaona July (siku 31) na August tena (siku 31)!

Kwani kama ni kuongeza siku si wangeuongezea mwezi wa pili huko! [emoji848]

Nisikuchoshe jisomee mwenyewe. Twende kazi;

View attachment 2835375

Kajile ka ng'waka na myatila ya Balimi

Shito sha bulamu wa Wasukuma shikalonga kafumile na kajile ka ng'weji mu nimo gw'ilima, gitumo bamayu bakabalilaga shiku jabo ulu bali budito "bakabala magito..." Ng'waka gwa Basukuma guli na shiku 354 + 11.

Himba mieji milebe ili na myatila ya heke ku nguno ya KULOMBA MBANGO.

Kwandya, twoleche ha silili kajile ka ng'waka;

November 1. Lubingo

December 2. Mili

January 3. Satu

February 4. Nne

March 5. Sano

Apr 6. Ntandatu

Mei 7. Mpungati

June 8. Nane

July 9. Nkenda gwa Nungula

Ago 10. Nkumi

Sep 11. Lyambalwa, Lyana lya Nkumi. Kinyela mu mbeho.

October 12. Igabanha. Lizukulu lya Nkumi

Yafumele mu shitabu sha Imani za jadi za kisukuma katika Misemo, hadithi, methali na desturi za maisha. Kamati ya utafiti wa utamaduni - Bujora 1988

Je unaifahamu miezi inavyoenenda katika jamii yako. Tiririka katika comments hapo. Karibuni[emoji1666].
Ikaboja gukabyagi ng'weji ki.
 
Tena mwaka wao walimaji huanzia mwezi wa 11. Miaka huhesabiwa kulingana na shughuli za kilimo. Mwezi wa kwanza ni mwezi ninaoandaa mashamba maana hiyo ndiyo shughuli ya kwanza.

Ukiwa mbabe na unajitambua, hadi mwaka unaweza kuubadili tu kufuata matakwa yako.

Wasukuma sio wa kwanza kufanya hivyo. Mfalme wa zamani huko aliyeitwa Augustus, sijui Augustino aliamuru kuwa mwezi unaoitwa jina lake hauwezi kuwa mdogo. Ni lazima uwe mkubwa na mrefu. Na ndio hadi leo mnaona July (siku 31) na August tena (siku 31)!

Kwani kama ni kuongeza siku si wangeuongezea mwezi wa pili huko! 🤔

Nisikuchoshe jisomee mwenyewe. Twende kazi;

View attachment 2835375

Kajile ka ng'waka na myatila ya Balimi

Shito sha bulamu wa Wasukuma shikalonga kafumile na kajile ka ng'weji mu nimo gw'ilima, gitumo bamayu bakabalilaga shiku jabo ulu bali budito "bakabala magito..." Ng'waka gwa Basukuma guli na shiku 354 + 11.

Himba mieji milebe ili na myatila ya heke ku nguno ya KULOMBA MBANGO.

Kwandya, twoleche ha silili kajile ka ng'waka;

November 1. Lubingo

December 2. Mili

January 3. Satu

February 4. Nne

March 5. Sano

Apr 6. Ntandatu

Mei 7. Mpungati

June 8. Nane

July 9. Nkenda gwa Nungula

Ago 10. Nkumi

Sep 11. Lyambalwa, Lyana lya Nkumi. Kinyela mu mbeho.

October 12. Igabanha. Lizukulu lya Nkumi

Yafumele mu shitabu sha Imani za jadi za kisukuma katika Misemo, hadithi, methali na desturi za maisha. Kamati ya utafiti wa utamaduni - Bujora 1988

Je unaifahamu miezi inavyoenenda katika jamii yako. Tiririka katika comments hapo. Karibuni🤝.
Wabeja nkoyi.
Nayega noi!
Hangamaga!
 
Tena mwaka wao walimaji huanzia mwezi wa 11. Miaka huhesabiwa kulingana na shughuli za kilimo. Mwezi wa kwanza ni mwezi ninaoandaa mashamba maana hiyo ndiyo shughuli ya kwanza.

Ukiwa mbabe na unajitambua, hadi mwaka unaweza kuubadili tu kufuata matakwa yako.

Wasukuma sio wa kwanza kufanya hivyo. Mfalme wa zamani huko aliyeitwa Augustus, sijui Augustino aliamuru kuwa mwezi unaoitwa jina lake hauwezi kuwa mdogo. Ni lazima uwe mkubwa na mrefu. Na ndio hadi leo mnaona July (siku 31) na August tena (siku 31)!

Kwani kama ni kuongeza siku si wangeuongezea mwezi wa pili huko! [emoji848]

Nisikuchoshe jisomee mwenyewe. Twende kazi;

View attachment 2835375

Kajile ka ng'waka na myatila ya Balimi

Shito sha bulamu wa Wasukuma shikalonga kafumile na kajile ka ng'weji mu nimo gw'ilima, gitumo bamayu bakabalilaga shiku jabo ulu bali budito "bakabala magito..." Ng'waka gwa Basukuma guli na shiku 354 + 11.

Himba mieji milebe ili na myatila ya heke ku nguno ya KULOMBA MBANGO.

Kwandya, twoleche ha silili kajile ka ng'waka;

November 1. Lubingo

December 2. Mili

January 3. Satu

February 4. Nne

March 5. Sano

Apr 6. Ntandatu

Mei 7. Mpungati

June 8. Nane

July 9. Nkenda gwa Nungula

Ago 10. Nkumi

Sep 11. Lyambalwa, Lyana lya Nkumi. Kinyela mu mbeho.

October 12. Igabanha. Lizukulu lya Nkumi

Yafumele mu shitabu sha Imani za jadi za kisukuma katika Misemo, hadithi, methali na desturi za maisha. Kamati ya utafiti wa utamaduni - Bujora 1988

Je unaifahamu miezi inavyoenenda katika jamii yako. Tiririka katika comments hapo. Karibuni[emoji1666].

Hizi historia za kabila la wasukuma nazitafuta sana,naomba unisaidie kupata vitabu vya historia hizi
 
Kilichopo ni hardcopy, hicho cha Bujora nilichokireference....... labda kuwaulizia Bujora Museum..... na kuna maktaba ipo nimesikia.

Kama kuna mtu anafahamu atujulishe hapa namna ya kupata vitabu hapo. Connection anyone?
 
Back
Top Bottom