Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Hii siijui niitaje kwa lugha ya kawaida isiyoumiza. Ila facts zitabaki kuwa facts.
Tembo , twigs, digidigi , paa n.k wamepewa thamani halisi.
Ukiwagonga kwa bahati mbaya utalipishwa kwa thamani yao halisi.
Tembo thamani yake iko kama 35 milioni za kitanzania. Huyo tembo akitoroka kwenye mapori tengefu na kuua mwananchi familia ya marehemu inalihapwa kafidia kadogo tu hakafikii hata thamani ya huyo tembo ambayo ni milioni 35.
Sasa ukimuua kwa makusudi utafungwa miaka lukuki na fine juu. Ila Watanzania kila leo wanauawa na tembo na serikali haifidii.
Hii ni dhahiri kwamba binadamu Tanzania hana dili