Je, unajua kwamba huyo mke/mme uliye naye sasa sio wako?

Haya maelekezo nimempa mpaka nimechoka unamwambia fika kwamba Uzinzi upo ndani ya Uasherati yani ni aina ya uasherati na Mke akifanya aina yoyote ya Uasherati ni halali kumuacha na ndo maana ya andiko but yeye amekomalia kwamba uzinzi sio sababu ya kuachana, Sasa embu mwambie akutajie uasherati ni nini na uzinzi ni nini🤣 na kwanini Biblia imehalalisha kumuacha Mke muasherati embu muulize Mke muasherati kama alivyotajwa na Yesu kwenye Biblia ni Mke wa aina gani ni Mke anaefanya vitu gani,,😂
 
Ohoo, unatumia EASY na CEV Bible versions halafu unategemea utapata maana halisi ya maneno ya Biblia. Tafuta versions zinazokubalika, zenye maana sawa na original texts, vinginevyo utapotea kama huyo Cypher1235
 
Hiki kitabu chako hakina miaka 200 toka kitungwe na wahuni.

Inamaana miaka zaidi ya million ambayo binadamu kaishi duniani alikuwa haoi wala kuolewa?
 
Zinazokubalika na nani? Mimi nimetumia lugha ya kiingereza ya version yoyote tu kuwa ina maana halisi kuliko hii ya Kiswahili.
 
Hiki kitabu chako hakina miaka 200 toka kitungwe na wahuni.

Inamaana miaka zaidi ya million ambayo binadamu kaishi duniani alikuwa haoi wala kuolewa?
Watu wote waliotenda dhambi pasipo sheria wataangamia pasipo sheria, nao wote waliotenda dhambi chini ya sheria watahukumiwa kwa sheria (Rum 2:12-13)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…