Je unajua kwamba kuoa ndiyo njia rahisi zaidi ya kupata tendo la ndoa tena kwa bei nafuu

Huyo wa 30,000 wa nin wakati wapo wa buku 2? Hujui viwanja? Hizo gharama za stress ni kubwa zaidi ya hicho unachokisema
 
Cku iz hatuoi but tunaoana bcz kushare majukumu ndio habar ya mjin
 
Kwani hiyo 30,000 kwa unaemnunua huwa unaitoa kila siku
 
Kaka mi naona wanawake wamekutuma uwapigie promo au labda wewe ni mmoja wao, umeangali gharama kwa pesa , unajua gharama ya stress, unajua gharama ya usaliti, unajua gharama ya matumizi ya kila siku, yani we usiongee kabisa
Sijatumwa ila Barobaro wanalalamika sana wanapigwa mizinga unamkuta kijana anaingia gharama ya zaidi ya 500000/= kwa ajili ya salon kwa mwezi Acha Vocha, Out, Shopping unamkuta kijana anaingia gharama ambazo bora angelipia Mahari angechukua mtoto Jumla jumla
 
Anaeingia gharama yule alieoa kuna vitu vyingi unatakiwa umuudumie mwanamke. Lakini hawa wanaokamata vimada wanaelewana wanamalizana cku iyo iyo.
Zidisha kwa Mwezi au kuangalia Mara Moja!!
 
Huyo wa 30,000 wa nin wakati wapo wa buku 2? Hujui viwanja? Hizo gharama za stress ni kubwa zaidi ya hicho unachokisema
Sawasawa Papuchi buku 2 na Ukimwi wa Laki 500000/= + Full stress umeukwa kijana under 25 unategemea nn wazungu wanasema

"Cheap Thing some time is expensive "
 
Hiyo ni dhana yako Tu!!! Na haiko sahihi vijana inaonekana Mmeridhia kuchunwa mwisho wa siku full madeni mtaani kisa eti una mtoto mkali unagharamia!!!
 
Zidisha kwa Mwezi au kuangalia Mara Moja!!
Kwani ukioa unakua unapewa kila siku? Hivi unajua ukioa tendo la ngoa unaweza kulipata kwa mwezi mara nne, wanawake wengi uwa wanazani kuwanyima unyumba wanaume wao ndio njia sahihi na ndio siraha yao kubwa kwenye ndoa. Unaweza kuoa ukazani utapewa unyumba kila siku matokeo yake yanakua tofauti unavyofikilia
 
Hiyo ni dhana yako Tu!!! Na haiko sahihi vijana inaonekana Mmeridhia kuchunwa mwisho wa siku full madeni mtaani kisa eti una mtoto mkali unagharamia!!!
Kama hujaoa utadhani ni dhana tu mark huu siku ukioa njoo tuendelee na mjadala!
 
Sawasawa Papuchi buku 2 na Ukimwi wa Laki 500000/= + Full stress umeukwa kijana under 25 unategemea nn wazungu wanasema

"Cheap Thing some time is expensive "
Na huyo wa 30 hawezi kukupa? msingi hapa si kumtazama mwanamke kwa njia ya fedha kama mtoa mada anavyosema, ila ujue hata stress in gharama kubwa zaidi ya ukimwi
 
Kama hujaoa utadhani ni dhana tu mark huu siku ukioa njoo tuendelee na mjadala!
Hapana mm na kwambia kitu halisia ivi ukilala na Mkeo na Hawa madada poa wapi mtu unakata kiu yake!!!
 
Kwema ndugu yangu ila umenichekesha. Hebu fanya mpango uwowe.
[emoji1] [emoji4] [emoji4] Cndo maana nataka kuja PM!! Haya mengine huwaga ni maneno tu tunacomment lakini ukweli unabakia ukweli!! Sasa si ati nikuje sio!?
 
Kuowa raha ukimpata akupendae kwa dhati utaona wew tajiri na kumbe maskini omba Mungu kwa hilo
 
Gharama na kifo kipi bora? Waliyooa wanakufa mapema kuliko wasiyooa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…