Je unajua kwamba kuoa ndiyo njia rahisi zaidi ya kupata tendo la ndoa tena kwa bei nafuu

Mshamba wewe Unapiga hesabu ya mahari tu,
Na mahitaji mengine ahudumie nani!?
 
Mshamba wewe Unapiga hesabu ya mahari tu,
Na mahitaji mengine ahudumie nani!?
Bado gharama yake IPO chini na ni Salama zaidi kuliko kupalamia Makahaba waliokubuhu alafu ww ukaenda kujitosa mzma mzma eti una kinga uwo ndio ushamba au nimegusa Interest zako?
 
[emoji3][emoji3][emoji3]. Mbona unawaita wenzio anza wewe.
[emoji121]
NOMESH'TUKA ANA WATOTO KADHAA HUYO,

HIVYO KWA HUU UCHUMI KIPENGELE CHA KUWALEA TUTALAUMIANA BURE HAPO!
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Umetumwa ww uoe kwa wanawake gan ambae hawajui umuhimu wa ndoa na hawajui umuhimu wa mume!!!! 50%-50% na wao waoe kwan raha anapata mwanaume pekee
 
Bado gharama yake IPO chini na ni Salama zaidi kuliko kupalamia Makahaba waliokubuhu alafu ww ukaenda kujitosa mzma mzma eti una kinga uwo ndio ushamba au nimegusa Interest zako?
Hujanigusa ila umenikera na kauli ulizotumia katika uzi wako halafu unajiita as salafiyyu.
 
Kuna maneno mengi ya kistaarabu
Oa upunguze gharama
Oa ufurahie ndoa muda wote na saa yoyote.
Mm nmefanya uchumi tu wa maneno lakin maana yangu haikuwa mbaya naomba usini tafsiri tofauti?
 
Mi si tetei na wala sipendi kwanza ningekua na uwezo ningewaozesha wote ambao hawajaoa hahaahaa.... Ila kauli zako ndio sio nzuri.
Du jaman mbona huu mtihani lugha niliyoitumia ni kwaajili ya vijana ili wanielewe Vizuri tatzo ww umeni tafsiri tofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…