As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,538
- Thread starter
- #41
Kweli mkuu haifai kuoa mtu asiyekupenda ukifanya hivi utabuluzwa !!!!Kuowa raha ukimpata akupendae kwa dhati utaona wew tajiri na kumbe maskini omba Mungu kwa hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu haifai kuoa mtu asiyekupenda ukifanya hivi utabuluzwa !!!!Kuowa raha ukimpata akupendae kwa dhati utaona wew tajiri na kumbe maskini omba Mungu kwa hilo
Toa Ushaidi Mkuu!!!Gharama na kifo kipi bora? Waliyooa wanakufa mapema kuliko wasiyooa.
Hapana Sio Sahihi kwa mfano mm naweza nkala na mke wangu chini ya Elfu 10000 kwa Siku sasa niambie wewe ukitoka Na Kisister Du cha mjini Mpo Out kima chachini mtakula Tsh ngapiKwani kuoa au kuolewa na ngono peke yake... Kuna mambo mengi sana ndani yake..
1. Chakula kila siku.
2. Matibabu kila anapoumwa. Akiumwa magonjwa makubwa unjiandane.
3. Malazi. Nikimanisha kodi ya nyumba au mahala pa kuishi.
5. Matumizi yake ya kila siku au week au mwezi.
6. Wazazi kuwakumbuka kumbuka.
Ni gharama sana. Ambae hana gharama ni yule atakayekuwa anakuchapia mkeo...
Kama unaamua kuoa wewe oa ukijiandaa ila siyo kwa kusema ati unaoa kisa free p... Unajidanganya...
Ukioa mpende mkeo, muhudumie, mlinde, mtunze... Ila siyo kwa fikra za kupata free p.. Gharama zipo tena kubwa... Tena kuliko hata hao wa one night stand...
Cc: mahondaw...
Elfu10 kwa siku inakuwaje?Hapana Sio Sahihi kwa mfano mm naweza nkala na mke wangu chini ya Elfu 10000 kwa Siku sasa niambie wewe ukitoka Na Kisister Du cha mjini Mpo Out kima chachini mtakula Tsh ngapi
Kwani kuoa au kuolewa na ngono peke yake... Kuna mambo mengi sana ndani yake..
1. Chakula kila siku.
2. Matibabu kila anapoumwa. Akiumwa magonjwa makubwa unjiandane.
3. Malazi. Nikimanisha kodi ya nyumba au mahala pa kuishi.
5. Matumizi yake ya kila siku au week au mwezi.
6. Wazazi kuwakumbuka kumbuka.
Ni gharama sana. Ambae hana gharama ni yule atakayekuwa anakuchapia mkeo...
Kama unaamua kuoa wewe oa ukijiandaa ila siyo kwa kusema ati unaoa kisa free p... Unajidanganya...
Ukioa mpende mkeo, muhudumie, mlinde, mtunze... Ila siyo kwa fikra za kupata free p.. Gharama zipo tena kubwa... Tena kuliko hata hao wa one night stand...
Cc: mahondaw...
Bado wako kwenye risk unakuta kijana anaenda kutembea na binti ambaye kauza kwa watu zaidi ya 100 halo usiulize magonjwa ambayo yanaweka yakamgarimu maisha yke yote kisa eti round moja ya Short time wakati ukiwa umeoa hata mkila miogo ya buku haki yko iko palepale mpaka ukinai ww uoni kuoa ndo mpango mzmaMkuu hawa vijana huwa hawanunui papuchi kila siku huenda kwa week Mara mbili na ndio analipia hiyo elfu 30.
Ila gharama zetu za kodi ya meza daily ukiwa na familia ya kawaida chini ya mtoto mmoja unatumia hiyo hela au elfu 15 per day.
So usiwadanganye vijana wakaingia mwisho watakuona wewe ndio uliwaangiza cha kike.
Mkuu unategea uozeshwe mtoto wa kitanga tena Zero point Five kwa laki 5?1.6m ya mahari kwa kipindi hichi ni kukomoana tu,walau ungesema 500k.
[emoji8] kaa kimya hivyo hivyo... Ssshhhh usiongee sana... Super dear... Love you even more mahondawThat's why I love you my lovely super Dear Smart911
You see internationally ,
You are a responsible Head of family ,
You are a kind of man every woman would like to have
Hakyamungu umenishhhhika dah
I'm so lucky
Lol
Wacha nifunge domo langu
Tumeoza dada yetu fresh outa medical school na masters ya udakitari kwa mahari ya misahafu kumi tu,tena mrembo na mtu wa dini,hizi mahari za kupanga wazazi ndo huchangia watu kushindwa kuoa,you cant put a price tag on a woman,yeye ndo achague mahari,na ukiona mwanamke anaropoka hela kubwa kuliko uwezo wa mwenza wake ujue kuna tatizo,eidha shinikizo la wazazi au yeye mwenyewe hana mapenziMkuu unategea uozeshwe mtoto wa kitanga tena Zero point Five kwa laki 5?
Sawa lakini Uislam haujaweka kikomo cha Mahali kwa mfano Zanzibar kuoa Kwa M3 ni kitu cha kawaida mahali kama hiyo na mm nimesha shuhudia kijana mmoja wa Udom uliozeshwa kwa mahari ya elfu 20 tena kwa mtoto wa Millionaire kwaiyo Suala la Mahari inategemea na Binti mwenyewe anataka kuolewa kwa Tsh ngap?Tumeoza dada yetu fresh outa medical school na masters ya udakitari kwa mahari ya misahafu kumi tu,tena mrembo na mtu wa dini,hizi mahari za kupanga wazazi ndo huchangia watu kushindwa kuoa,you cant put a price tag on a woman,yeye ndo achague mahari,na ukiona mwanamke anaropoka hela kubwa kuliko uwezo wa mwenza wake ujue kuna tatizo,eidha shinikizo la wazazi au yeye mwenyewe hana mapenzi
Ndo hapo sasa tena waambieni hawa Mabarobaro tumechoka kuona post Oh jaman kuna binti namgharamia lakin hataki kunipa nanii? Ooh jaman uko sio kuchunwa? Tumezichoka Post hizoOeni jamani...Sasa mkikimbia gharama tutaolewa na Nani?
Ndugu Wanajamvi kama kichwa cha habari kinavyojieleza Leo hii kumekithiri Malalamiko ya Vijana Mabarobaro (bachelors) kwamba wanachunwa na Vidada vya Mjini sasa Kero hii imepata ufupumbuzi.
Nini cha Kufanya? Chamsingi kwa kijana anayejitambua anabidi atafute Mmoja wa Ukweli kisha amuowe kwamfano angalia unaoa unalipa mahari milion 1.5, afu unakaa nae zaidi ya miaka 20. Sawa na zaidi ya miez 250.
Ina maana kwa mwezi mmoja unalipa Tshs. 6000/=
Kwa wiki moja unalipa Tshs.1500/=
Na kwa siku Tshs 215/=
Kwann ukanunue mwanamke kwa zaidi ya Tshs 30,000/= na gharama ya chipsi kuku na Pepsi afu akupe mapenzi kwa raundi mbili tu, wakati ungekua umeoa ungekuwa unalipa TSHS 215/= na unapiga mzigo raundi kibao mpk utosheke mwenyewe.
Nenda kaoe wewe upige mzigo kwa bei nafuu acha uboya wa kulipa pesa nyingi kwa penzi la siku moja.
Nawasilisha!!!
Hakuna kitu kama hicho mkuu kwaiyo iyo itukuwa ndoa au NdoanaKAMA UNAOA ILI UPIGE MZIGO UMELIWA WEWE! UNAWEZA UOE VIZURI NA MZIGO USIPATE MWAKA!