mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,072
- 12,119
🤣🤣🤣🤣Chips zimeanza lini kushibisha.? Wasukuma wanakula chips kama mboga, yaani, unasongwa ugali, halafu dogo anatumwa akanunue chips, tonge la ugali linasukumiwa na tupande tuwili twa chips
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Chips zimeanza lini kushibisha.? Wasukuma wanakula chips kama mboga, yaani, unasongwa ugali, halafu dogo anatumwa akanunue chips, tonge la ugali linasukumiwa na tupande tuwili twa chips
Siwezi kukubishia maana nilishawahi kwenda kwenye familia moja japo sio usukumani nikakuta hivyo viazi amevipika tu kawaida na mchuzi na hiyo ndio mboga. Na ugali pembeniHujafika Usukumani wewe.
Acha uoga feni ipo ya kukupepea.Freshi tuu,una nimudu lakini?
Acha uoga feni ipo ya kukupepea.