mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 4,072 Reaction score 12,119 Feb 19, 2025 #41 Bujibuji Simba Nyamaume said: Chips zimeanza lini kushibisha.? Wasukuma wanakula chips kama mboga, yaani, unasongwa ugali, halafu dogo anatumwa akanunue chips, tonge la ugali linasukumiwa na tupande tuwili twa chips Click to expand... 🤣🤣🤣🤣
Bujibuji Simba Nyamaume said: Chips zimeanza lini kushibisha.? Wasukuma wanakula chips kama mboga, yaani, unasongwa ugali, halafu dogo anatumwa akanunue chips, tonge la ugali linasukumiwa na tupande tuwili twa chips Click to expand... 🤣🤣🤣🤣
N Noti bandia JF-Expert Member Joined May 3, 2020 Posts 2,684 Reaction score 4,315 Feb 19, 2025 #42 Bujibuji Simba Nyamaume said: Hujafika Usukumani wewe. Click to expand... Siwezi kukubishia maana nilishawahi kwenda kwenye familia moja japo sio usukumani nikakuta hivyo viazi amevipika tu kawaida na mchuzi na hiyo ndio mboga. Na ugali pembeni
Bujibuji Simba Nyamaume said: Hujafika Usukumani wewe. Click to expand... Siwezi kukubishia maana nilishawahi kwenda kwenye familia moja japo sio usukumani nikakuta hivyo viazi amevipika tu kawaida na mchuzi na hiyo ndio mboga. Na ugali pembeni
gonamwitu JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 2,187 Reaction score 2,794 Feb 19, 2025 #43 The Legacy said: Freshi tuu,una nimudu lakini? Click to expand... Acha uoga feni ipo ya kukupepea.
The Legacy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2022 Posts 5,879 Reaction score 11,318 Feb 19, 2025 #44 gonamwitu said: Acha uoga feni ipo ya kukupepea. Click to expand... Sawa mdogo wangu,