Wanawake wa kiafrika jikomboeni. Achaneni na mawig. Mbona hatuoni wazungu au wahindi wakivaa mawingi ya kiafrika? Acheni kasumba ya kufikiri mkivaa mawig ndio mnakuwa wazuri. Mimi binafsi mwanamke akisha vaa wig huwa namshusha thamani kabisa kwasababu haonekanai katika uasili wake.
Wanawake wa kiafrika jikomboeni. Achaneni na mawig. Mbona hatuoni wazungu au wahindi wakivaa mawingi ya kiafrika? Acheni kasumba ya kufikiri mkivaa mawig ndio mnakuwa wazuri. Mimi binafsi mwanamke akisha vaa wig huwa namshusha thamani kabisa kwasababu haonekanai katika uasili wake.
sikio la kufa.....
Si unaona unavyopendeza? Sijui nikuPM?!!!😕
skiza nikwambie brodah!!!hii ni kweli CITIZEN tv ya Kenya walisharusha kipindi cha tv kuonyesha hili.... , you may search chanel yao youtube na kujionea.
Hiv tatizo la wanawak ninini haswa? Why wasiwe tu natural... kuliko kuweka manywele ya maiti kichwani?
Kweli mkuu lakini tuendelee kuwaelimisha kuhusu kasumba hii mbaya ya kujikana maumbile yao. Taratibu watabadilika ingawa kweli itakuwa kazi kwakuwa hata akina mama viongozi na wasomi ambao ungetegemea wakawa ni mfano wao ndio wanaoongozi kuvaa mawigi ya nywele za kizungu kila siku bila kujiuliza kwanini wazungu hawavai mawigi ya kiafrika ili waonekane kama waafrika au wazungu wanaojipaka rangi nyeusi ili wawe weusi kama waafrika isipokuwa ni wanawake wa kiafrika tu ndio wanahangaika kujichubua ili waonekane weupe. Ni utumwa mbaya sana kwa wanawake. Kuna mwanamke mmoja nafanya nae kazi karubu mwaka wa 10 sasa sijawahi kumuona akiwa katika nywele zake za asili. Yeye kila siku ni wigi iwe jua au mvua. Nimeshampasha tukagombana sana lakini ujumbe umemfikiaUnadhani wangapi watakubali aina hii ya ushauri?
Wigi siku hizi pia ni kielelezo cha 'U-sasa' yaani usipoweka nywele bandia kichwani wewe ni mshamba usiyeenda na wakati!
But as for me....Natural look rocks!
Extremely few ... the fewest! Could be 1 in 10000not in large no though....
watumiaji kazi kwenu,hata mimi naamini mawigi na marasta huwa ni za maiti weupe!!!
well niite utakavyo ila Ndahani can tell you all about composite materials..........
to me wings and braids are polythene materials na ndio maana ukizichoma hata harufu yake inanuka tofauti na nywele za kichwan ingawa zimefanyiwa an advanced enzymatic action to have a texture close to true hairs.
that's simple organic chemistry
Hii Kitu Kakobe kafundisha sana hadi Mke wa JK akaacha kuvaa Wigi[video=youtube_share;0Ry9gGS_SVQ]http://youtu.be/0Ry9gGS_SVQ[/video]
Baniani mbaya kiatu chake dawa.
Oooh sijui gabachori, sijui hiki na kile, mwisho wa siku unajijaza mkorogo uwe mweupe, unajibandika na nywele walizonyolewa wao.
Tena hapa mleta mada kawa mstaarabu, mpaka zile za chini hawa wanauza zinachanganywa na hizo za juu.
Hizo ndiyo ukisikia au kuona wig limeandikwa: Natural Human Hair Wig
Puhhhhh
bas sawa.... muda mwingi but muda mchache{yani siku mojamoja} kama kawa una 2pia wiglace lako.. vizuri!!!!shindwa mkuu mimi siyo mwathirika na nywele bandia mda mwingi am natural ,kuu just me .. just miss chagga
Kama hutamani mbona kwenye aveta yako zipo???Asantee
Ila mie wig na weaving kwenye kichwa changu sithubutu wala sijawahi kutamani