Je unajua Mawigi na Rasta Zinatoka wapi?

Je unajua Mawigi na Rasta Zinatoka wapi?

Wanawake wa kiafrika jikomboeni. Achaneni na mawig. Mbona hatuoni wazungu au wahindi wakivaa mawingi ya kiafrika? Acheni kasumba ya kufikiri mkivaa mawig ndio mnakuwa wazuri. Mimi binafsi mwanamke akisha vaa wig huwa namshusha thamani kabisa kwasababu haonekanai katika uasili wake.

not in large no though....
deluxe-afro-wig.jpg
 
haya bhana mbona wakivaa wanapendeza sana
 
Wanawake wa kiafrika jikomboeni. Achaneni na mawig. Mbona hatuoni wazungu au wahindi wakivaa mawingi ya kiafrika? Acheni kasumba ya kufikiri mkivaa mawig ndio mnakuwa wazuri. Mimi binafsi mwanamke akisha vaa wig huwa namshusha thamani kabisa kwasababu haonekanai katika uasili wake.

Unadhani wangapi watakubali aina hii ya ushauri?
Wigi siku hizi pia ni kielelezo cha 'U-sasa' yaani usipoweka nywele bandia kichwani wewe ni mshamba usiyeenda na wakati!
But as for me....Natural look rocks!
 
Iyo ya wahindi kuuza nywele mbona inajulikana. Ila zipo za plastic pia, ambazo huwa hazina kiwango.
 
Hakika wamepotea wasiotaka kuitambua na kuikubali haqi.
Una nini mwanadamu? mbona unashughulishwa na dunia?
 
hahahahahahahahahahahahaha. na hapa bongo waje waibe vipili pili vyetu.
 
sikio la kufa.....

well niite utakavyo ila Ndahani can tell you all about composite materials..........

to me wings and braids are polythene materials na ndio maana ukizichoma hata harufu yake inanuka tofauti na nywele za kichwan ingawa zimefanyiwa an advanced enzymatic action to have a texture close to true hairs.
that's simple organic chemistry
 
Last edited by a moderator:
hii ni kweli CITIZEN tv ya Kenya walisharusha kipindi cha tv kuonyesha hili.... , you may search chanel yao youtube na kujionea.
skiza nikwambie brodah!!!

ubaya wa waandish wa habari ni kwamba wengi wao hawataki kufanya tafiti za kueleweka kutoka tulipotoka hadi tulipo leo.

let me tell you, hivi unajua kwamba hata kama nimekubali let say ukucha nilioukata utumike there shall be an ethical clearance ambayo iko stipulated na sheria za haki za binadamu na afya za UN/WHO??

sasa tuje taratibu, yawezekana kabisa kwamba haya yaliwah kufanyika lkn kwa ulimwengu wa sasa hili haliwez kutokea manake kutumia sehem yyte ya mwili wa binadamu hata iwe ukucha lazima upate ethical clearance na ni lazima uweke good convincing arguments ili upewe iyo clearance ingawa unailipia some good dollars??

sasa kwanza twende taratibu, mimi ninachokiona ni ama upotoshajia wa wazi ulofanywa na waandish wa hiyo habari ama walitaka waseme jambo fulan lkn wakakosa jins ya kulieka lieleweke.

kwangu mimi nitashangaa sana kuona bidhaa yyte itokanayo na sehem ya mwili wa binadamu ikiwa sokon kama commodity.

labda nikuulize itahitaj kuwa na watu wangapi ili kuweza kutengeneza rasta zote duniani?? na je hawa wote wanalipwa na nini??

na swali la msingi zaid kama mtu anaweza kuuza nywele zake je itakuwa na tofauti gani kama mtu akiuza damu yake ama na yule anayesema nauza mkono wangu??
 
Hiv tatizo la wanawak ninini haswa? Why wasiwe tu natural... kuliko kuweka manywele ya maiti kichwani?

Viumbe dhaifu hawa, hata biblia inatuasa tuishi nao kwa akili, pia biblia hiyo hiyo inasema kwa kuwa wana tamaa mwanamume atawatawala... in fact nachukia sana ma wig.... am sory kwa kusema kwa ukali.
 
Unadhani wangapi watakubali aina hii ya ushauri?
Wigi siku hizi pia ni kielelezo cha 'U-sasa' yaani usipoweka nywele bandia kichwani wewe ni mshamba usiyeenda na wakati!
But as for me....Natural look rocks!
Kweli mkuu lakini tuendelee kuwaelimisha kuhusu kasumba hii mbaya ya kujikana maumbile yao. Taratibu watabadilika ingawa kweli itakuwa kazi kwakuwa hata akina mama viongozi na wasomi ambao ungetegemea wakawa ni mfano wao ndio wanaoongozi kuvaa mawigi ya nywele za kizungu kila siku bila kujiuliza kwanini wazungu hawavai mawigi ya kiafrika ili waonekane kama waafrika au wazungu wanaojipaka rangi nyeusi ili wawe weusi kama waafrika isipokuwa ni wanawake wa kiafrika tu ndio wanahangaika kujichubua ili waonekane weupe. Ni utumwa mbaya sana kwa wanawake. Kuna mwanamke mmoja nafanya nae kazi karubu mwaka wa 10 sasa sijawahi kumuona akiwa katika nywele zake za asili. Yeye kila siku ni wigi iwe jua au mvua. Nimeshampasha tukagombana sana lakini ujumbe umemfikia
 
Baniani mbaya kiatu chake dawa.

Oooh sijui gabachori, sijui hiki na kile, mwisho wa siku unajijaza mkorogo uwe mweupe, unajibandika na nywele walizonyolewa wao.

Tena hapa mleta mada kawa mstaarabu, mpaka zile za chini hawa wanauza zinachanganywa na hizo za juu.

Hizo ndiyo ukisikia au kuona wig limeandikwa: Natural Human Hair Wig

Puhhhhh
 
well niite utakavyo ila Ndahani can tell you all about composite materials..........

to me wings and braids are polythene materials na ndio maana ukizichoma hata harufu yake inanuka tofauti na nywele za kichwan ingawa zimefanyiwa an advanced enzymatic action to have a texture close to true hairs.
that's simple organic chemistry

Very true composite materials at the moment are being used to make super structures..perhaps including wigs and artificial hair. One of the greatest use of composite materials is in the manufacturing of aircraft parts! To make them lighter without compromising their strength....
 
Baniani mbaya kiatu chake dawa.

Oooh sijui gabachori, sijui hiki na kile, mwisho wa siku unajijaza mkorogo uwe mweupe, unajibandika na nywele walizonyolewa wao.

Tena hapa mleta mada kawa mstaarabu, mpaka zile za chini hawa wanauza zinachanganywa na hizo za juu.

Hizo ndiyo ukisikia au kuona wig limeandikwa: Natural Human Hair Wig

Puhhhhh

Hapa umesema kweli nimekupinga post zako nyingi sana ila kwa hii nakuunga mkono kwa wewe kusema Ukweli
 
Back
Top Bottom