Je, unajua mbegu za mimea yote duniani zinahifadhiwa benki Norway zisije kupotea duniani? Benki hii hapa

Hii sio kweli!
Ni kitu ambacho hakiwezekani kukusanya Mbegu eti za Mimea yote Duniani...
Kukusanya baadhi sawa ila sio yote.

Story za Kijiwe cha Kahawa.
Hii stori sio ya kahawan. Ni kweli ipo na inatunza zaidi mbegu zilizokaushwa. Hii stoo inamilikiwa na mtu binafsi. Mtu binafsi, kampuni au nchi ruksa kutunza mbegu zake huko ilimradi unalipia.
 
Kweli wanajali maisha maana ukiangalia Clip hiyo unaona Aleppo mbegu wamerudishiwa baada ya vita kuharibu kila kitu
Jamaa wanajitahidi sana nakumbuka hata kwenye wanyama na viumbe wengine wanajitahidi kuwalinda kwa kuwachukua na kuwahifadhi sehemu tofauti
Kama wale kobe waliokuwa wanatoweka wakachukiliwa na kuhifadhiwa sehemu maalumu ili wazaane kwa wingi tena
 
Watu wanashindwa amini sababu ya mwandishi. Angekuwa ameandika mtu mwingine nadhani wasingebisha.ila huyu wanaamini atakuwa anawadanganya tu.
 
Muda mwingine tunajifanya kuwaponda wazungu lakini kila wanachokifanya asilimia kubwa ni kwa ajili ya vizazi vijavyo.
Mfano hapa kwetu tunahangaika kuhifadhi mawe ya laizer . Wenzetu wanajua chakula na mimea ndio maisha..... So tutafakari kwa pamoja kuhusu mwanzilishi wa Benki hiyo..... ALIWAZA NINI?
 
napendekeza hata sisi kupitia wizara ya kilimo na mifugo tunaweza fanya au kuiga hii kitu. gharama si kubwa sana
 
Ac
Acha ubishi wa kijinga hii ni kweli hata Kama aliyeitoa ni li CCM Ila hi habari ni kweli na bank hii ni Kati ya maeneo ya nayolindwa Sana duniani.

Mengine ni

USA reserve
Area 51
Bank ya taarifa za kanisa katoliki
Na hiyo bank ya mbegu
Mnakubari kila mnachoambiwa na Mzungu hata Kama ni Uongo....

Hapa nazungumzia Miti yenye ASILI ya Africa ambayo huwezi kuikuta popote Ulaya zaidi ya Africa ama Tanzania, Miti iliyojiotea kwenye Pori la Akiba au kwenye Hifadhi ya Taifa ambapo utakuta kuna Aina tofauti za Miti ya ASILI zaidi ya 2,000..

Mti kama Mkalikali, Mvidunda, Msodoki, Mviweje n.k

Kusema eti Mzungu Ulaya katuhifadhiavMbegu ya aina hii ya Miti ya Asili ambayo Ulaya haipo na mengine haiwezi hata kuota, ni Maajabu....
 
Unaubishi wa kitoto Sasa haiwezekani kuchukua hizo mbegu huku na kuzihifadhi huko kwao ? Tukizitaka tunaenda kuchukua ku back up?
 
Hii stori sio ya kahawan. Ni kweli ipo na inatunza zaidi mbegu zilizokaushwa. Hii stoo inamilikiwa na mtu binafsi. Mtu binafsi, kampuni au nchi ruksa kutunza mbegu zake huko ilimradi unalipia.
Kile ambacho Sikubaliani nacho ni kuniambia eti Mbegu zote Duniani, Mbegu za Miti yoote Duniani, hata Miti ya Asili inayopatikana Serengeti, ama Mikumi, yani Miti aina yooote, imehifadhiwa kama Mbegu huko.... Hilo nakaa....... Baadhi ya Miti ukinambia nakubari....
 
Unaubishi wa kitoto Sasa haiwezekani kuchukua hizo mbegu huku na kuzihifadhi huko kwao ? Tukizitaka tunaenda kuchukua ku back up?
Nani alifanya kazi ya kukusanya Mbegu Serengeti na Mikumi na kwenye Mapori mengine, na kazi hiyo ya kukusanya Mbegu ilifanyika lini!?

Sijui hata Kama tunaelewana......
 
Kile ambacho Sikubaliani nacho ni kuniambia eti Mbegu zote Duniani, Mbegu za Miti yoote Duniani, hata Miti ya Asili inayopatikana Serengeti, ama Mikumi, yani Miti aina yooote, imehifadhiwa kama Mbegu huko.... Hilo nakaa....... Baadhi ya Miti ukinambia nakubari....
Mkuu kule hawahifadhi kila kitu. Wanahifadhi vinavyoletwa na "wateja" na vinavyoweza kuhifadhika.
 
Hiyo kazi ilifanyika wiki iliyopita lisu alipotua bongo
 
Mkuu kule hawahifadhi kila kitu. Wanahifadhi vinavyoletwa na "wateja" na vinavyoweza kuhifadhika.
Wewe ndo Umeongea, sio mtu kaisikia hapa hapa hii hoja, nae kaibeba kama ilivyo na kuanza kulazimisha watu wakubaliane nae.....

Mkuu Nakubaliana na wewe, kwamba Bank ile wanahifadhi Mbegu za Mimea zinazoletwa na Wateja toka sehemu tofauti Duniani...... Nadhani mtoa mada anatakiwa kurekebisha maelezo yake, coz yanasomeka Bank hii imehifadhi Miti yoooote, yani yoooote toka pande zote za Dunia na kila aina ya Mti!
Hapa sikukubaliana napo, kwa akili ya kawaida tu....
 
Kile ambacho Sikubaliani nacho ni kuniambia eti Mbegu zote Duniani, Mbegu za Miti yoote Duniani, hata Miti ya Asili inayopatikana Serengeti, ama Mikumi, yani Miti aina yooote, imehifadhiwa kama Mbegu huko.... Hilo nakaa....... Baadhi ya Miti ukinambia nakubari....
unachobisha nini? kwani hizo powder huwa unapaka kweny mattaco?
 
napendekeza hata sisi kupitia wizara ya kilimo na mifugo tunaweza fanya au kuiga hii kitu. gharama si kubwa sana
Of course tunaweza kudrill huko mlima Kilimanjaro kwenye barafu then tukaomba tufundishwe tekinolojia ya kuhifadhi mbegu then tukaanza.
Ni muhimu kuwa na mbegu za uoto wetu kijiografia kwani muda unakuja mbegu zote zitakuwa artificial..... Magonjwa yataongezeka na lifespan ya watanzania itapungua
 
Wewe ndo Umeongea, sio mtu kaisikia hapa hapa hii hoja, nae kaibeba kama ilivyo na kuanza kulazimisha watu wakubaliane nae.....

Mkuu Nakubaliana na wewe, kwamba Bank ile wanahifadhi Mbegu za Mimea zinazoletwa na Wateja toka sehemu tofauti Duniani...... Nadhani mtoa mada anatakiwa kurekebisha maelezo yake, coz yanasomeka Bank hii imehifadhi Miti yoooote, yani yoooote toka pande zote za Dunia na kila aina ya Mti!
Hapa sikukubaliana napo, kwa akili ya kawaida tu....
Duh!
 
Back
Top Bottom