del moe
JF-Expert Member
- Apr 4, 2016
- 827
- 1,026
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Nuhu aliwakusanya wanyama wote duniani wawili wawili akawaweka kwenye safina isiyozidi kilomita 1 kwa urefu na upana!!!Hii sio kweli!
Ni kitu ambacho hakiwezekani kukusanya Mbegu eti za Mimea yote Duniani...
Kukusanya baadhi sawa ila sio yote.
Story za Kijiwe cha Kahawa.