Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Hii stori sio ya kahawan. Ni kweli ipo na inatunza zaidi mbegu zilizokaushwa. Hii stoo inamilikiwa na mtu binafsi. Mtu binafsi, kampuni au nchi ruksa kutunza mbegu zake huko ilimradi unalipia.Hii sio kweli!
Ni kitu ambacho hakiwezekani kukusanya Mbegu eti za Mimea yote Duniani...
Kukusanya baadhi sawa ila sio yote.
Story za Kijiwe cha Kahawa.
😀😀Usitumie freebasics weka bando uone video.
napendekeza hata sisi kupitia wizara ya kilimo na mifugo tunaweza fanya au kuiga hii kitu. gharama si kubwa sanaMuda mwingine tunajifanya kuwaponda wazungu lakini kila wanachokifanya asilimia kubwa ni kwa ajili ya vizazi vijavyo.
Mfano hapa kwetu tunahangaika kuhifadhi mawe ya laizer . Wenzetu wanajua chakula na mimea ndio maisha..... So tutafakari kwa pamoja kuhusu mwanzilishi wa Benki hiyo..... ALIWAZA NINI?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vizuri bado benki ya bikra tu.
Mnakubari kila mnachoambiwa na Mzungu hata Kama ni Uongo....Ac
Acha ubishi wa kijinga hii ni kweli hata Kama aliyeitoa ni li CCM Ila hi habari ni kweli na bank hii ni Kati ya maeneo ya nayolindwa Sana duniani.
Mengine ni
USA reserve
Area 51
Bank ya taarifa za kanisa katoliki
Na hiyo bank ya mbegu
Unaubishi wa kitoto Sasa haiwezekani kuchukua hizo mbegu huku na kuzihifadhi huko kwao ? Tukizitaka tunaenda kuchukua ku back up?Mnakubari kila mnachoambiwa na Mzungu hata Kama ni Uongo....
Hapa nazungumzia Miti yenye ASILI ya Africa ambayo huwezi kuikuta popote Ulaya zaidi ya Africa ama Tanzania, Miti iliyojiotea kwenye Pori la Akiba au kwenye Hifadhi ya Taifa ambapo utakuta kuna Aina tofauti za Miti ya ASILI zaidi ya 2,000..
Mti kama Mkalikali, Mvidunda, Msodoki, Mviweje n.k
Kusema eti Mzungu Ulaya katuhifadhiavMbegu ya aina hii ya Miti ya Asili ambayo Ulaya haipo na mengine haiwezi hata kuota, ni Maajabu....
Kile ambacho Sikubaliani nacho ni kuniambia eti Mbegu zote Duniani, Mbegu za Miti yoote Duniani, hata Miti ya Asili inayopatikana Serengeti, ama Mikumi, yani Miti aina yooote, imehifadhiwa kama Mbegu huko.... Hilo nakaa....... Baadhi ya Miti ukinambia nakubari....Hii stori sio ya kahawan. Ni kweli ipo na inatunza zaidi mbegu zilizokaushwa. Hii stoo inamilikiwa na mtu binafsi. Mtu binafsi, kampuni au nchi ruksa kutunza mbegu zake huko ilimradi unalipia.
Nani alifanya kazi ya kukusanya Mbegu Serengeti na Mikumi na kwenye Mapori mengine, na kazi hiyo ya kukusanya Mbegu ilifanyika lini!?Unaubishi wa kitoto Sasa haiwezekani kuchukua hizo mbegu huku na kuzihifadhi huko kwao ? Tukizitaka tunaenda kuchukua ku back up?
Mkuu kule hawahifadhi kila kitu. Wanahifadhi vinavyoletwa na "wateja" na vinavyoweza kuhifadhika.Kile ambacho Sikubaliani nacho ni kuniambia eti Mbegu zote Duniani, Mbegu za Miti yoote Duniani, hata Miti ya Asili inayopatikana Serengeti, ama Mikumi, yani Miti aina yooote, imehifadhiwa kama Mbegu huko.... Hilo nakaa....... Baadhi ya Miti ukinambia nakubari....
Hiyo kazi ilifanyika wiki iliyopita lisu alipotua bongoNani alifanya kazi ya kukusanya Mbegu Serengeti na Mikumi na kwenye Mapori mengine, na kazi hiyo ya kukusanya Mbegu ilifanyika lini!?
Sijui hata Kama tunaelewana......
Wewe ndo Umeongea, sio mtu kaisikia hapa hapa hii hoja, nae kaibeba kama ilivyo na kuanza kulazimisha watu wakubaliane nae.....Mkuu kule hawahifadhi kila kitu. Wanahifadhi vinavyoletwa na "wateja" na vinavyoweza kuhifadhika.
unachobisha nini? kwani hizo powder huwa unapaka kweny mattaco?Kile ambacho Sikubaliani nacho ni kuniambia eti Mbegu zote Duniani, Mbegu za Miti yoote Duniani, hata Miti ya Asili inayopatikana Serengeti, ama Mikumi, yani Miti aina yooote, imehifadhiwa kama Mbegu huko.... Hilo nakaa....... Baadhi ya Miti ukinambia nakubari....
Msome mwenzio anayejielewa kwenye post no. 33Hiyo kazi ilifanyika wiki iliyopita lisu alipotua bongo
Of course tunaweza kudrill huko mlima Kilimanjaro kwenye barafu then tukaomba tufundishwe tekinolojia ya kuhifadhi mbegu then tukaanza.napendekeza hata sisi kupitia wizara ya kilimo na mifugo tunaweza fanya au kuiga hii kitu. gharama si kubwa sana
Nilichokua nabisha Post no. 33 imewawekea Sawa....unachobisha nini? kwani hizo powder huwa unapaka kweny mattaco?
Duh!Wewe ndo Umeongea, sio mtu kaisikia hapa hapa hii hoja, nae kaibeba kama ilivyo na kuanza kulazimisha watu wakubaliane nae.....
Mkuu Nakubaliana na wewe, kwamba Bank ile wanahifadhi Mbegu za Mimea zinazoletwa na Wateja toka sehemu tofauti Duniani...... Nadhani mtoa mada anatakiwa kurekebisha maelezo yake, coz yanasomeka Bank hii imehifadhi Miti yoooote, yani yoooote toka pande zote za Dunia na kila aina ya Mti!
Hapa sikukubaliana napo, kwa akili ya kawaida tu....