del moe JF-Expert Member Joined Apr 4, 2016 Posts 827 Reaction score 1,026 Aug 16, 2020 #41 Hata mbegu ya miwa ipo hapo aise benk sasi Sana hii Sent using Jamii Forums mobile app
Kizibo JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 4,033 Reaction score 8,805 Dec 20, 2020 #42 Powder said: Hii sio kweli! Ni kitu ambacho hakiwezekani kukusanya Mbegu eti za Mimea yote Duniani... Kukusanya baadhi sawa ila sio yote. Story za Kijiwe cha Kahawa. Click to expand... Mbona Nuhu aliwakusanya wanyama wote duniani wawili wawili akawaweka kwenye safina isiyozidi kilomita 1 kwa urefu na upana!!! Au nasema uongo ndugu zangu???
Powder said: Hii sio kweli! Ni kitu ambacho hakiwezekani kukusanya Mbegu eti za Mimea yote Duniani... Kukusanya baadhi sawa ila sio yote. Story za Kijiwe cha Kahawa. Click to expand... Mbona Nuhu aliwakusanya wanyama wote duniani wawili wawili akawaweka kwenye safina isiyozidi kilomita 1 kwa urefu na upana!!! Au nasema uongo ndugu zangu???