Imani rubaba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 254
- 350
Wewe ndio mfugaji wakwanza kusema ng'ombe anagharama katika ulishajiHii ni kwenye makaratasi ila kwenye uhalisia endeleeni tu kupiga pesa za mafunzo ila kwa sisi wafungaji practically ni bora ufuge madume kuliko hao ng'ombe wa maziwa as kwa sasa gharama za vyakula kwa huyo ng'ombe ili akupe idadi hiyo ya maziwa ni bora ununue maziwa kiliko kufuga!
SawqUnaongelea faida huongelea gharama za kuipata hiyo faida,
Endelea kuuza vijarida na kufundisha mana sidhani hata kama ulishawahi fuga hata njiwa.
Karibu tena
😁😁Unaongelea faida huongelea gharama za kuipata hiyo faida,
Endelea kuuza vijarida na kufundisha mana sidhani hata kama ulishawahi fuga hata njiwa.
Inategemea na aina ya ng'ombe ulio nunua.Hao ng'ombe ukiwa nao hawatoi hzo lita,akijitahid sana asubuh na jioni unapata lita 10
W
Wewe ndio mfugaji wakwanza kusema ng'ombe anagharama katika ulishaji
Sawq
Karibu tena
Mkuu utachoka na hawa motivation speakers ila tulio kwenye field hii kiminyo cha gharama tunacho kipata acha tu!Unaongelea faida huongelea gharama za kuipata hiyo faida,
Endelea kuuza vijarida na kufundisha mana sidhani hata kama ulishawahi fuga hata njiwa.
Huyo jamaa sio mfugaji wala hana ngombeMkuu utachoka na hawa motivation speakers ila tulio kwenye field hii kiminyo cha gharama tunacho kipata acha tu!
Siyo kweli. Kama upo mwanza nikulekeze kwa jamaa uende ukajionee mwenyewe nitakupa hadi no yake ya simu ufikepo hapoHao ng'ombe ukiwa nao hawatoi hzo lita,akijitahid sana asubuh na jioni unapata lita 10
Chukua mfano wa ng’ombe mmoja bora wa maziwa:
➡ Anaweza kutoa wastani wa lita 15–20 kwa siku
➡ Kwa bei ya sasa ya soko (maeneo mengi TZS 2,000 au zaidi kwa lita), hii ni sawa na:
TZS 30,000–40,000 KILA SIKU kutoka kwa ng’ombe mmoja tu.
Fanya hesabu kwa Mwezi utakua na bei gani?
Na tofauti na bodaboda:
✔ Hakuna bima
✔ Hakuna purukushani za trafiki
✔ Hakuna faini
✔ Hakuna ajali
✔ Hakuna kazi ya kukimbizana barabarani
Ng’ombe anahitaji lishe sahihi, maji, na usimamizi mzuri—gharama zinazodhibitika na zenye kurudi mara nyingi zaidi.
Faida ya ziada ambayo watu wengi hawaihesabu:
• Ng’ombe anaongezeka thamani kila siku
• Anazalisha ndama (mtaji mpya)
• Samadi ni rasilimali ya shamba
• Ufugaji unawezekana hata ndani ya miji kwa mfumo sahihi
Ndiyo maana tunasema kwa kujiamini:
Utajiri wa kweli haupo barabarani—upo shambani.
---
📢 JIUNGE NA GROUP LETU LA MAFUNZO
(Kilimo & Ufugaji wa Kibiashara) – RUBABA MEDIA
Tunatoa:
✔ Elimu ya vitendo inayotokana na uzoefu halisi wa shambani
✔ Ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wafugaji na wataalamu waliothibitisha matokeo
✔ Mbinu sahihi za kuongeza uzalishaji wa maziwa na faida
✔ Njia za kupunguza hasara zisizo za lazima
✔ Mwelekeo wa kujenga miradi ya kilimo na ufugaji yenye ushindani sokoni
✔ Mwongozo wa kuanzia hata kwa mtaji mdogo, kwa hatua sahihi
---
💰 Ada ya Uanachama
TZS 30,000 kwa mwaka
(Uwekezaji mdogo unaoweza kukuokoa miaka ya majaribio na hasara)
📲 Njia za Malipo
• M-Pesa: 0764 148 221 – Imani Lubaba Emmanuel
• TIGO Lipa Namba: 16418845 – Rubaba TV
📩 Tuma ujumbe: NIUNGE
📞 WhatsApp: 0764 148 221
---
🌱 Kumbuka:
Mafanikio hayaji kwa bahati. Yanajengwa kwa maarifa sahihi, mipango thabiti, maamuzi ya kibiashara, na utekelezaji wa vitendo.
Anayeanza leo kwa uelewa sahihi, hucheka kesho.
niceChukua mfano wa ng’ombe mmoja bora wa maziwa:

Hakina kitu kisichokua na gharama.Mkuu utachoka na hawa motivation speakers ila tulio kwenye field hii kiminyo cha gharama tunacho kipata acha tu!
Mungu akurehemu tu, Maana ujui utendachoDogo umemaliza certificate ya kilimo na mifugo tayari unajiona unajua. Hilo group lenu kwa akili yako hata mkisema mnanilipa sijiungi. Hujui kitu umekurupuka. Hudanganyi mtu. Unafahamu gharama za malisho Dar? Unafahamu malipo ya mtu wa kukuangalizia ng'ombe? Unafahamu wanavyosumbua siku hizi anytime anaweza acha kazi? Unafahamu matibabu ya ng'ombe? Hujui kitu. Hizo hesabu za kwenye makaratasi za kukurupuka usitake wadanganya watu.
Urehemiwe wewe kwanza hujui ukisemacho. Humdanganyi mtuMungu akurehemu tu, Maana ujui utendacho
SawaUrehemiwe wewe kwanza hujui ukisemacho. Humdanganyi mtu
SawaHuyo jamaa sio mfugaji wala hana ngombe
Kaandika utopian ideas
ng'ombe hata wa lt 40 kwa siku wapo ila kuwapata ndo kimbembe, me bi mkubwa wangu alikuwaga na wake anatoa lt 30 kwa siku tena alikuwa anamlisha kawaida sana.Siyo kweli. Kama upo mwanza nikulekeze kwa jamaa uende ukajionee mwenyewe nitakupa hadi no yake ya simu ufikepo hapo