Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Yeah kuwapata ndo mbinde ila jamaa niliyemjibu alisema hawapo ndo nikamwambia akajifunze kwa mshikaji hapo mwanzang'ombe hata wa lt 40 kwa siku wapo ila kuwapata ndo kimbembe, me bi mkubwa wangu alikuwaga na wake anatoa lt 30 kwa siku tena alikuwa anamlisha kawaida sana.