Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 12,463 Reaction score 27,556 Jan 2, 2026 #21 granitized said: ng'ombe hata wa lt 40 kwa siku wapo ila kuwapata ndo kimbembe, me bi mkubwa wangu alikuwaga na wake anatoa lt 30 kwa siku tena alikuwa anamlisha kawaida sana. Click to expand... Yeah kuwapata ndo mbinde ila jamaa niliyemjibu alisema hawapo ndo nikamwambia akajifunze kwa mshikaji hapo mwanza
granitized said: ng'ombe hata wa lt 40 kwa siku wapo ila kuwapata ndo kimbembe, me bi mkubwa wangu alikuwaga na wake anatoa lt 30 kwa siku tena alikuwa anamlisha kawaida sana. Click to expand... Yeah kuwapata ndo mbinde ila jamaa niliyemjibu alisema hawapo ndo nikamwambia akajifunze kwa mshikaji hapo mwanza
Wagumu Tunadumu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2022 Posts 7,591 Reaction score 23,296 Jan 2, 2026 #22 Nikifa MkeWangu Asiolewe said: Siyo kweli. Kama upo mwanza nikulekeze kwa jamaa uende ukajionee mwenyewe nitakupa hadi no yake ya simu ufikepo hapo Click to expand... Ngoja niandae hela afu niwanunue nikajifunze namna ya kuweza kuwatunza mpaka watoe maziwa yote hayo
Nikifa MkeWangu Asiolewe said: Siyo kweli. Kama upo mwanza nikulekeze kwa jamaa uende ukajionee mwenyewe nitakupa hadi no yake ya simu ufikepo hapo Click to expand... Ngoja niandae hela afu niwanunue nikajifunze namna ya kuweza kuwatunza mpaka watoe maziwa yote hayo
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 12,463 Reaction score 27,556 Jan 2, 2026 #23 Wagumu Tunadumu said: Ngoja niandae hela afu niwanunue nikajifunze namna ya kuweza kuwatunza mpaka watoe maziwa yote hayo Click to expand... Sawa mkuu
Wagumu Tunadumu said: Ngoja niandae hela afu niwanunue nikajifunze namna ya kuweza kuwatunza mpaka watoe maziwa yote hayo Click to expand... Sawa mkuu