Akina nani Mkuu.Wanawatesa sana Hawa watu
Akina nani Mkuu.
Halafu Mkuu, sheria ya ndoa ya Tanzania hairuhusu Mwanandoa kuuza mali ya familia bila maridhiano na mwanandoa mwingine. Kwa maana kwamba Mali yoyote inayopatikana kwa nguvu ya wanandoa wote wawili na inayomilikiwa kwa pamoja haiwezi kuuzwa bila maridhiano ya wanandoa wote na haiwezi kuuzwa bila mke au mume kujulishwa na kuridhia hayo. Kifungu cha 59 cha sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kinaelekeza hayoWanawake
Mkuu kuna marekebisho yake ya mwaka 2002Mbona hizi sheria za ndoa inaonekana za zamani sana? 1971 mpaka leo no updates.?
Mkuu kuna marekebisho yake ya mwaka 2002
Ondoa woga mkuu.Afadhali kama yapo, maana naona kama my marriage strives in the past kwa hizi sheria ambazo hata nilikuwa sijazaliwa wakat zinatungwa
Naomba nifafanulie hapa;Pia sheria ya ndoa inaruhusu mke au mume kumiliki mali zake binafsi. Ina Maana kwamba ndoa haiondoi umilikaji wa mali binafsi kwa mwanandoa, kama mke au mume alikuwa na mali fulani kabla ya ndoa mali hiyo inabaki kuwa yake peke yake hata baada ya ndoa. Mali zinazopatikana kwa nguvu ya wanandoa wote wawili hizo huwa ni mali za pamoja na zinamilikiwa na wanandoa wote wawili.
1. Mkuu nyinyi kuwa mwili mmoja hakuwafanyi kama wakati mnaoana mlikuwa na mali zenu binafsi then baada ya kuoana zile mali ziwe sehemu ya mali zenu za ndoa, Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 58 cha sheria ya ndoa.Naomba nifafanulie hapa;
1. Inakuaje wana-ndoa kumiliki mali binafsi wakati "ndoa" huwafanya kuwa mwili mmoja.
2. Ikiwa kila mtu (mwana-ndoa) anaweza kumiliki mali zake, ni wakati gani ambapo mali za mume au mke itatambuliwa kuwa ni "mali ya familia"?
Ningefurahi kama ungekuwa una quote kifungu cha sheria kwa ukamilifu wake (ili kujifunza zaidi).1. Mkuu nyinyi kuwa mwili mmoja hakuwafanyi kama wakati mnaoana mlikuwa na mali zenu binafsi then baada ya kuoana zile mali ziwe sehemu ya mali zenu za ndoa, Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 58 cha sheria ya ndoa.
2. Mali yoyote inayopatikana kwa nguvu ya wanandoa wote wawili na inayomilikiwa kwa pamoja wakati wa ndoa yenu na hii mali haiwezi kuuzwa bila maridhiano ya wanandoa wote na haiwezi kuuzwa bila mke au mume kujulishwa na kuridhia hayo. Hii ni kwa mujibu wa Kifungu cha 59 cha sheria ya ndoa ya 1971 n1 marejeo ya mwaka 2002 kinaelekeza hayo.
Mkuu mambo mengine tafuta ww pia.Ningefurahi kama ungekuwa una quote kifungu cha sheria kwa ukamilifu wake (ili kujifunza zaidi).
Mkuu Sheria ya Ndoa imeainisha haki mbalimbali za wanandoa. Kimsingi mke ana haki sawa na mwanaume katika ndoa.Baadhi ya haki zilizoainishwa ni pamoja na; Haki sawa kwa mwanamke katika kupata, kumiliki na kugawa mali yake. Haki hii ni kwa mali zote zinazohamishika na zisizohamishika.1. Je ni sahihi kuamini kwamba, tangu tarehe ya ndoa mali binafsi za wana ndoa huwa ni mali za familia?
Mkuu pia Mali iliyo katika jina la mwanandoa mmojawapo itahesabika kuwa mali binafsi ya mwanandoa huyo.Sasa Dhana hii inaweza kukanushwa na mwanandoa mwingine kwa kuthibitisha vinginevyo. Mali iliyo na majina yote mawili ya wanandoa itadhaniwa kuwa ni mali inayomilikiwa na wanandoa wote kwa pamoja katika mafungu sawa.2. Je ikiwa nilichouliza hapo juu si sahihi, nini dhana ya uhitaji wa ridhaa ya mwenza kipindi anapotaka kuuza mfano ardhi? (Kwa sababu, Sijawahi kusikia wakati wa uuzaji eneo mtu akiulizwa ni "mali yako kabla au baada ya ndoa, ili iuzwe bila ridhaa)
Sijakuelewa kabisa, fafanua plizKabisa lazima mkataba uvunjwe maana nimefunga ndoa ilinihalalishe tendo sasa akininibania kutakuwa hakuna mkataba tena hapo sawa nakuwa mseja na sio kingine.