Je, unajua tendo la ndoa ni haki katika ndoa na lisipotimizwa linaweza sababisha ndoa kuvunjika?

Mkuu Sheria ya Ndoa imeainisha haki mbalimbali za wanandoa. Kimsingi mke ana haki sawa na mwanaume katika ndoa.Baadhi ya haki zilizoainishwa ni pamoja na; Haki sawa kwa mwanamke katika kupata, kumiliki na kugawa mali yake...
Sawa nimekuelewa vema.

1.Kwa sababu ulizozitoa, ikiwa kila mtu ana mali zake binafsi, ikitokea mwenza mmoja amefariki na katika ndoa hawakufanikiwa kupata mtoto, je ndugu wa marehemu wanaweza kudai "mali binafsi" za marehemu wao?

2. Kwanini imekuwa kawaida akifariki mume, kunakuwa na mgawanyo ww mali, lakini haiwi hivyo pale anapofariki mke? Sheria inasemaje?
 
Je sheria inasemaje pale ambapo mwanandoa mmoja anapochangia kiasi kikubwa katika mali iliyopatikana ndani ya ndoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…