Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Anhaa natamani unieleweshe vizuri je hiyo hela wanaihesabu au hata nikibeba nguo zangu kwenye begi nikasema ni hela ila nahitaji escort nikiwadanganya nimebeba hela watakubali ?Hii ipo kisheria kabisa, kama una kuanzia Tsh elfu 30 na unahofia usalama wa pesa zako basi ni ruksa kwenda kuomba escort ya polisi mpaka unapokwenda .
Ila je unao uthubutu huo kwa hawa polisi wetu ,eti uende kituoni na Tsh elfu 30 uombe escort [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Wakati unaomba escort ya polisi kwa hiyo 30,000/- Tshs, unalipa shilingi ngapi? Au escort ni bure?Hii ipo kisheria kabisa, kama una kuanzia Tsh elfu 30 na unahofia usalama wa pesa zako basi ni ruksa kwenda kuomba escort ya polisi mpaka unapokwenda .
Ila je unao uthubutu huo kwa hawa polisi wetu ,eti uende kituoni na Tsh elfu 30 uombe escort 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Ndio ni bure kabisaaahio escort wanakupa bure au?
Cha msingi uwe na pesa kuanzia elfu 30Anhaa natamani unieleweshe vizuri je hiyo hela wanaihesabu au hata nikibeba nguo zangu kwenye begi nikasema ni hela ila nahitaji escort nikiwadanganya nimebeba hela watakubali ?
Maana nataka nije nao kama kumi huku kijijini ili wanakijiji waniogope sasa
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Bure.Wakati unaomba escort ya polisi kwa hiyo 30,000/- Tshs, unalipa shilingi ngapi? Au escort ni bure?
Lazima nijaribu hii pale Central DSMHii ipo kisheria kabisa, kama una kuanzia Tsh elfu 30 na unahofia usalama wa pesa zako basi ni ruksa kwenda kuomba escort ya polisi mpaka unapokwenda .
Ila je unao uthubutu huo kwa hawa polisi wetu ,eti uende kituoni na Tsh elfu 30 uombe escort 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Elfu 10Bure .
Ruksa kabisa.Lazima nijaribu hii pale Central Dsm
Elfu 10 wanakupiga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣ni bureeeElfu 10
Hela ya mafuta analipa Nani?Ndio ni bure kabisaaa
Nitaenda kujaribu kesho ila ikiwa nitakutwa lolote naomba ujue kuwa wewe ndiye umeniuaCha msingi uwe na pesa kuanzia elfu 30
nimekumiss bamdogoWakati unaomba escort ya polisi kwa hiyo 30,000/- Tshs, unalipa shilingi ngapi? Au escort ni bure?