Je, unajua ukiwa na Tsh elfu 30 tu unaruhusiwa kwenda kuomba escort ya polisi ikupeleke mpaka unapoenda?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu unatakaa wanakijiji wakuogope Kwan una ugomvii nao!!! Au unatakaa uheshimikee tu na c kuogopekaa mkuu..[emoji23][emoji23]
Hawa wanakijiji wameshanigeuza mimi babu yao kisa nashinda nao kwenye vilabu na bar basi wanaona kuwa hata kama nina kazi ila mimi ni mwenzao tu maana inafika mahali wanatambiana kuwa kila mtu anajifanya rafiki yangu kuliko mwingine sasa na mimi sitaki wanizoee hivyo

Mimi nataka wakiniona wanigwaye kama askari kata .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Nitaenda kujaribu kesho ila ikiwa nitakutwa lolote naomba ujue kuwa wewe ndiye umeniua

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Sawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ni kwa mujibu wa sheria za zamani, wakatoka 30k ikawa 50 k.
Kumbuka posho ya askari mmoja kufanya hiyo escorting kwasasa ni sh. 50 kwa safari za karibu.
Haya sasa
Unapigwa Mzee ,ni bure kabisa .

Wewe kama imekaa sehemu umelewa unataka kurudi nyumbani na kianzio Cha buku sate (30) unacho nenda direct kituo cha polisi kuomba usindikizwe 😂😂😂😂
 
Hawa wanakijiji wameshanigeuza mimi babu yao kisa nashinda nao kwenye vilabu na bar basi wanaona kuwa hata kama nina kazi ila mimi ni mwenzao tu maana inafika mahali wanatambiana kuwa kila mtu anajifanya rafiki yangu kuliko mwingine sasa na mimi sitaki wanizoee hivyo

Mimi nataka wakiniona wanigwaye kama askari kata .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
wewe ndio umeruhusu hayo sasa chakufanya tafuta bundi nikimaanisha wale ndege wawili afu nenda nao kijijini ukifika kule usiongee na mtu toka hapo wataanza kukuhis we wanga au nunua bangi pita kuvuta afu kuwa serious wtz wanavyomwogopa mvuta bangi itakusaidia
 
Hii ipo kisheria kabisa, kama una kuanzia Tsh elfu 30 na unahofia usalama wa pesa zako basi ni ruksa kwenda kuomba escort ya polisi mpaka unapokwenda .

Ila je unao uthubutu huo kwa hawa polisi wetu, eti uende kituoni na Tsh elfu 30 uombe escort
 
Anhaa natamani unieleweshe vizuri je hiyo hela wanaihesabu au hata nikibeba nguo zangu kwenye begi nikasema ni hela ila nahitaji escort nikiwadanganya nimebeba hela watakubali ?

Maana nataka nije nao kama kumi huku kijijini ili wanakijiji waniogope sasa

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Ngoja wa ku escort roho yako ufike kwa usalama peponi au motoni
 
Back
Top Bottom