Peaceforever
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,030
- 2,200
Duh! Je na wao hakuna gharama ya kuwalipa?Wewe ndiyo hujaelewa mkuu
Elfu30 ni mali uliyonayo wewe na serikali yako imeona itunge sheria kwamba ikiwa unahama kutoka sehemu moja kwenda nyingine na unakiasi kuanzia hicho cha pesa basi waweza kuwataarifu polisi wakupe escort for free mpaka unapoenda
Hawa wanakijiji wameshanigeuza mimi babu yao kisa nashinda nao kwenye vilabu na bar basi wanaona kuwa hata kama nina kazi ila mimi ni mwenzao tu maana inafika mahali wanatambiana kuwa kila mtu anajifanya rafiki yangu kuliko mwingine sasa na mimi sitaki wanizoee hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu unatakaa wanakijiji wakuogope Kwan una ugomvii nao!!! Au unatakaa uheshimikee tu na c kuogopekaa mkuu..[emoji23][emoji23]
Hawa polisi wetu wanakupa mpaka kesi ya uzurulaji mchana wa saa 7 sio wa kuwaamini hata kidogo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Duh hawa polisi wetu sidhani, hawana tofauti na jini mnyonya damu, nawaogopa sana, kukutoa roho ni just a minute
Bure? Utathubutu kuwatumia bila ya bakshishi? Jaribu uoneBure.
Mwaka gani huo elfu 30 uliweza kununua kiwanja na kukamilisha mpaka na ujenzi?? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sheria za miaka hiyo, shilingi 30 elfu unajenga nyumba unamaliza na kuhamia kabisa.
Hapo hawajaainisha ila sheria inasema tu ukiwa na hicho kiasi ruksa kuomba escort ya polisi wakufikishe mpaka kwako usije ukaporwa na wahuni.Hela ya mafuta analipa Nani?
Sawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nitaenda kujaribu kesho ila ikiwa nitakutwa lolote naomba ujue kuwa wewe ndiye umeniua
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Hapo ndipo penye Tatizo utapewa kesi ya uzushi na kudanganya serikaliTatizo litaanzia utakapowaambia unasafirisha sh ngapi kwa kutumia hiyo 30 yako.
Sawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nitaenda kujaribu kesho ila ikiwa nitakutwa lolote naomba ujue kuwa wewe ndiye umeniua
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Unapigwa Mzee ,ni bure kabisa .Ni kwa mujibu wa sheria za zamani, wakatoka 30k ikawa 50 k.
Kumbuka posho ya askari mmoja kufanya hiyo escorting kwasasa ni sh. 50 kwa safari za karibu.
Haya sasa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hawa wanakijiji wameshanigeuza mimi babu yao kisa nashinda nao kwenye vilabu na bar basi wanaona kuwa hata kama nina kazi ila mimi ni mwenzao tu maana inafika mahali wanatambiana kuwa kila mtu anajifanya rafiki yangu kuliko mwingine sasa na mimi sitaki wanizoee hivyo
Mimi nataka wakiniona wanigwaye kama askari kata .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Nchi ya ajabu sana.Sheria za mwaka 47 wakati elfu30 ilikuwa ni kibunda cha kwenda
Lakini nchi hii ya hovyo sana hata ku.update sheria watu wameshindwa
Na gari yao kabisa.Asee . Wanakupakia kwenye bodaboda au wanakusindikiza na gari yao?
Hata kama unarudi kwako kupumzika.ukiwa unazipeleka wapi
wewe ndio umeruhusu hayo sasa chakufanya tafuta bundi nikimaanisha wale ndege wawili afu nenda nao kijijini ukifika kule usiongee na mtu toka hapo wataanza kukuhis we wanga au nunua bangi pita kuvuta afu kuwa serious wtz wanavyomwogopa mvuta bangi itakusaidiaHawa wanakijiji wameshanigeuza mimi babu yao kisa nashinda nao kwenye vilabu na bar basi wanaona kuwa hata kama nina kazi ila mimi ni mwenzao tu maana inafika mahali wanatambiana kuwa kila mtu anajifanya rafiki yangu kuliko mwingine sasa na mimi sitaki wanizoee hivyo
Mimi nataka wakiniona wanigwaye kama askari kata .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Hii ipo kisheria kabisa, kama una kuanzia Tsh elfu 30 na unahofia usalama wa pesa zako basi ni ruksa kwenda kuomba escort ya polisi mpaka unapokwenda .
Ila je unao uthubutu huo kwa hawa polisi wetu, eti uende kituoni na Tsh elfu 30 uombe escort
Ngoja wa ku escort roho yako ufike kwa usalama peponi au motoniAnhaa natamani unieleweshe vizuri je hiyo hela wanaihesabu au hata nikibeba nguo zangu kwenye begi nikasema ni hela ila nahitaji escort nikiwadanganya nimebeba hela watakubali ?
Maana nataka nije nao kama kumi huku kijijini ili wanakijiji waniogope sasa
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
hakuna huo utaratibu mkuuHata kama unarudi kwako kupumzika.
50 kweusi huko.. Sasa mshahara wa mtu ulikuwa 250 na unamtosheleza kila kitu, elfu 30 huoni kama ni oesa nyingi saana.Mwaka gani huo elfu 30 uliweza kununua kiwanja na kukamilisha mpaka na ujenzi?? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣