Je, unajua wayahudi wamechangia pakubwa maendeleo ya technolojia urusi?

mtetezi12

Member
Joined
Feb 17, 2026
Posts
24
Reaction score
138
Kumbe sio usa tu pekee imesaidiwa na wayahudi katika maendeleo ya tecnolojia hata urusi pia ambayo tunaaminishwa itasaidia iran imesaidia pakubwa sana na wayahudi katika maendeleo ya tecnolojia hapa kuna list ya wanasayansi wakubwa wa urusi wenye asili ya kiyahudi na gunduzi zao 1. Andrei Sakharov ugunduzi wa Bomu la hydrogen (thermonuclear bomb)

2. Sergey Korolev ugunduzi Sputnik 1 na maendeleo ya safari za anga

3. Lev Landau ugunduzi Misingi ya quantum physics na theoretical physics

4. Yakov Zeldovich ugunduzi wa Nuclear physics na cosmology

5. Igor Tamm ugunduzi wa Nuclear na particle physics

6. Zhores Alferov ugunduzi wa Teknolojia ya semiconductors (msingi wa simu na internet)

8. Grigori Perelman ugunduzi wa Suluhisho la Poincaré Conjecture (hisabati ya hali ya juu)
 
Wewe umechangia nini na hii inatusaidia nini? Miafrika kwa kushupalia
 
Ndio maana hutaona hata siku moja Urusi anaingia front kupambana na Israel. Hata kule Ukraine wayahudi ni wengi sana hadi yule Waziri mkuu mwanamke wa kwanza wa Israel Golda Mair, alikua myahudi mzaliwa wa Ukraine. Pale pale Israel wale wayahudi wengi waliochanganya na uzungu wengi wametokea Urusi, Marekani, Ukraine, Poland na mataifa mengi ya magharibi. Wayahudi wale original waliozaliwa pale Israel wamefanana sana na wapalestina kwa muonekano wao, ni kama waarabu tu.
 
Back
Top Bottom