Wewe umechangia nini na hii inatusaidia nini? Miafrika kwa kushupaliaKumbe sio usa tu pekee imesaidiwa na wayahudi katika maendeleo ya tecnolojia hata urusi pia ambayo tunaaminishwa itasaidia iran imesaidia pakubwa sana na wayahudi katika maendeleo ya tecnolojia hapa kuna list ya wanasayansi wakubwa wa urusi wenye asili ya kiyahudi na gunduzi zao 1. Andrei Sakharov ugunduzi wa Bomu la hydrogen (thermonuclear bomb)
2. Sergey Korolev ugunduzi Sputnik 1 na maendeleo ya safari za anga
3. Lev Landau ugunduzi Misingi ya quantum physics na theoretical physics
4. Yakov Zeldovich ugunduzi wa Nuclear physics na cosmology
5. Igor Tamm ugunduzi wa Nuclear na particle physics
6. Zhores Alferov ugunduzi wa Teknolojia ya semiconductors (msingi wa simu na internet)
8. Grigori Perelman ugunduzi wa Suluhisho la Poincaré Conjecture (hisabati ya hali ya juu)
Akili ya kuchangia naitoa wapi 😀😃😄😀😃😄 mimi kikubwa nimechangia mada basi inatosha na wewe changia commentWewe umechangia nini na hii inatusaidia nini? Miafrika kwa kushupalia