Je unajua YESU physically tayari yupo duniani?

Kwa kweli nimefurahi kujua hili baada ya macho Yangu kufunguka .yupo duniani tayari ila wengi kumjua ni vigumu maana amekuja kama a blackman

Tafuta ela kwanza
Xmass na mwaka mpya zinakaribia
 
Kwa kweli nimefurahi kujua hili baada ya macho Yangu kufunguka .yupo duniani tayari ila wengi kumjua ni vigumu maana amekuja kama a blackman
Yuko sehemu gani? Ndiyo yule atakaye omba lift kwa Pasto pale KIA, au yuko Kawe
 
KUNA WATU HUMU WANABEZA DHANA "MUNGU" WAKI RELY KWAMBA DINI ZIMETOKA KWA WAZUNGU NA WAARABU.
MUNGU YUPO DAMU YA YESU KRISTO INAPONYA NA INASAFISHA KILA KITU KAMA KUNA MTU HAAMINI BASI ATAAMINI KWASABABU NINA UHAKIKA BADO HAKIJAUMANA ILA TUULIZENI SISI KILASHAWAHI KUUMANA NA TULIOMBEWA NA DAMU YA YESU ILITUPONYA NA NAANDIKA HII KITU KWA UJASIRI NA NAJIAMINI NI MUNGU NDO ALINIPONYA PENGINE NINGESHAKUFA KITAMBO AU NINGEKUWA KICHAA.
 
acha kuwadanganya watu hebu soma ufunuo 1 : 7 uone inavyosema kwamba akija kila jicho litamwona
 
KUNA WATU HUMU WANABEZA DHANA "MUNGU" WAKI RELY KWAMBA DINI ZIMETOKA KWA WAZUNGU NA WAARABU.
MUNGU YUPO DAMU YA YESU KRISTO INAPONYA NA INASAFISHA KILA KITU KAMA KUNA MTU HAAMINI BASI ATAAMINI KWASABABU NINA UHAKIKA BADO HAKIJAUMANA ILA TUULIZENI SISI KILASHAWAHI KUUMANA NA TULIOMBEWA NA DAMU YA YESU ILITUPONYA NA NAANDIKA HII KITU KWA UJASIRI NA NAJIAMINI NI MUNGU NDO ALINIPONYA PENGINE NINGESHAKUFA KITAMBO AU NINGEKUWA KICHAA.
jamani samahani kama nimekwaza watu na dini zao ila mimi nilikuwa nawaambia wazungu hawawezi kuamini kuwa black man ndie atatawala dunia yote kupitia Jesus christ ..matter of fact kwan Jesus aliyekuja atajiita Jesus ? hapana kuna jina jipwa
 
Yuko sehemu gani? Ndiyo yule atakaye omba lift kwa Pasto pale KIA, au yuko Kawe
hahahaha no yeye haitaji hayo kwa kuwa yupo sehemu yeyote wakat wowote
 
Alisema atakuja kama mwizi ..

“Sikilizeni! Nitakuja kama mwizi wakati msioutarajia. Heri watakaokuwa macho na waliovaa nguo zao. Hawatakwenda wakiwa uchi na kuona aibu watakapoonwa na watu.”
yupo hapa na ni ngumu kujua ukiwa na carnal mind yupo ndio anafanya kazi yake kutufanya viumbe vyote turud eden
 
Alisema atakuja kama mwizi ..

“Sikilizeni! Nitakuja kama mwizi wakati msioutarajia. Heri watakaokuwa macho na waliovaa nguo zao. Hawatakwenda wakiwa uchi na kuona aibu watakapoonwa na watu.”
Halafu amri inakataza kuiba...
 
Yesu anaerud sio kama yule aliyekuja kama binadamu mkuu. Huyu anaekuja ni mfalme na kuja kwake ni kwa kutisha na hatakanyaga tena hii ardhi na atashukia mlima sayuni na wakati huo kabla hajaja kutatokea vita kubwa ya dunia na hiyo vita kilele chake kitakuwa kwenye uwanda wa yehoshafati. Biblia ina code nyinvi sana ukitaka kusoma kwa kuijua ina vitu vingi sana vya kutisha.
 
Eeh si hauna akili
sina akili ? akili ni nini kwan wewe unaweza ukajua Future ya ulimwengu kuwa the future man hata hitaji simu kuwasiliana? najua hujui sina akili ndio hayo mawazo yako
 
Back
Top Bottom