Uchaka.........that was the real part of JKT man.....sio siku hizi kuuza matrekta
lol!!.................green vest af nyekundu
ila ukweli ukakamavu tulijifunza sana ivi wa siku hizi bado zile staili za zaman zipo?
ivi yale amteso tuliyopata bado wa siku hizi wanayapata?
Duh!! Umenikumbusha mbali, Ruvu JKT, 832KJ, 91/92 Combania C kwa sir major Chenge
Siku hizi hakuna mateso kivile, hakuna kubeba dunia wala kupigwa nuwa, watoto wanakufa kufa so wameamua kulegeza kuendana na wakati.
Wengi mmeandika.............mengi tumekumbuka................kumbukumbu ni nyingi,...............................vituko ni vingi kwa kila kombania na kambi pia,............................. asanteni sana..........................ila kuna hawa kuruta waliopitia oljoro JKT..........kuna siku waliamua na kukutana,........................walifanya bonge la party.......ilikuwa maeneo ya mikocheni,......................hakika niliwaone wivu walivyokuwa wanajikumbsha mambo waliokuwa wakifanya wakati huo...............................hakika ni kitu kizuri sana.....................................hongereni kuruta wa OLJORO
Umenikumbusha mbali sanaaaa.wale wa Operation Okoa Oljoro JKT kombania A kwa afande Dauda, John Matondo,Msambaa mmoja jina simkumbuki na afande mmoja mtu wa kusini alkuwa anapenda sana kuimba disko wa kombania C,kuokota kuni shimo la mungu majitambo ya maafande kuwa kuruta 10 wa jeshi kazi yao ni sawa na trekta moja la valmet na tela lake,kwata ya nguvu drill,mchakamchaka kula kwa foleni kimbembe ni pale unapozira chakula cha jeshi au mboga ni sangara au nyama kwata inakuwa kali kuliko0,wengine walipigwa bogi kwenda mgambo tanga waliotoroka na kurudi wanasimulia unyama wa afande Mtono,service wengine tulikatwa bogi kenda Itende nakumbuka ile siku tulipoimba disko kusherehekea kifo cha mtoto wa Meja ...... baada ya kughadhabishwa na matendo yake ya kutufanya wote pamoja na maafande kama kuruta,mtoto mwenyewe alishika waya wa umeme wakati wa greda likifanya cut&fill karibu na nyumba ya afande Rest House,kutulazimisha kuchimba mabwawa ya samaki katika makaburi ya wazungu walikuwa wamezikwa pale, kwa ujumla mwaka mmoja nilijifunza mambo mengi na nashukuru sana kuwa yananisaidia hadi leo hasa MM na ukakamavu.
Nilikiwa Oljoro nikapigwa bogi laUmenikumbusha mbali sanaaaa.wale wa Operation Okoa Oljoro JKT kombania A kwa afande Dauda, John Matondo,Msambaa mmoja jina simkumbuki na afande mmoja mtu wa kusini alkuwa anapenda sana kuimba disko wa kombania C,kuokota kuni shimo la mungu majitambo ya maafande kuwa kuruta 10 wa jeshi kazi yao ni sawa na trekta moja la valmet na tela lake,kwata ya nguvu drill,mchakamchaka kula kwa foleni kimbembe ni pale unapozira chakula cha jeshi au mboga ni sangara au nyama kwata inakuwa kali kuliko0,wengine walipigwa bogi kwenda mgambo tanga waliotoroka na kurudi wanasimulia unyama wa afande Mtono,service wengine tulikatwa bogi kenda Itende nakumbuka ile siku tulipoimba disko kusherehekea kifo cha mtoto wa Meja ...... baada ya kughadhabishwa na matendo yake ya kutufanya wote pamoja na maafande kama kuruta,mtoto mwenyewe alishika waya wa umeme wakati wa greda likifanya cut&fill karibu na nyumba ya afande Rest House,kutulazimisha kuchimba mabwawa ya samaki katika makaburi ya wazungu walikuwa wamezikwa pale, kwa ujumla mwaka mmoja nilijifunza mambo mengi na nashukuru sana kuwa yananisaidia hadi leo hasa MM na ukakamavu.