Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kama sikosei huyu afande Maduma ndiye alikuwa pia pale Maramba JKT (operesheni programu ya chama) B-Coy chini ya afande Mapunda aliyekuwa OC kipindi hicho CO akiwa afande Urio then akaja afande Lyaruu. Huyu Maduma alikuwa tall hivi, mweupe kiasi na nadhani alikuwa mgogo. Wakati huo alikuwa ni staff sergent na alikuwa na demu wake hivi kuruta bibi shamba akiitwa......Mara ya mwisho nilionana na Maduma mwaka 2006 akaniambia kwa wakati huo alikuwa ni mkufunzi wa mgambo wilaya ya Kinondoni. Kuna watu uwa siwasahau kama Narsis Mboya, Emmanuel Kabadi, Gumuso Ng'honholi, William Shija (akitokea Tabora), Joash Kunaga, Kagimbo, Deusdedit Buberwa, Denis Mbekenga(R.I.P.), Kachuli (muha, mbishi wa ukweli), mdogo wake wa kike na CO Lyaruu, Ernest Milinga (huyu alikaa sana pale zahanati kambini), Ernest Kaupunda(R.I.P), Jovin Kapinga, Kaniki, John Henjewele, Jasson Bagonza, Shauritanga, Elizabeth Kyoga, Kimoleta, Mussa Nyantaba, Arnold Buretta, Kajobi, Anna-Janeth Pius, Makaranga, Audax Mbelwa, Audax Makyao, Agnes Makyao, Mndeme, Benjamin Nyawela, Antony Mathew Mbuba, Lwambano, Arnold Mwaisumbi, Eliapenda, Kassim Ndossi, Mary Mshana, Anna Maluila (R.I.P.), Evelyne Mshigwa, Mwasiti Jumanne (Jumanne?), Aliko Mwakalindile, Rachel Kaduma, Hamis Madoheka, Hamis Bakari (mpiga maji na machachari kweli kweli-kuna wakati alipata pass akaenda kwao akarudi kambini na fimbo ya kaka yake mlemavu huku kalewa chakari), Zayumba, Humphrey Minja, Magnificent, Abel Ntupwa, Muhsin Salim Masoud, Mwang'ombe, Msafiri (akipenda sana kuimba nyimbo za Bob Marley, Lucresia Tarimo, Charles Morris, Fortunatus Michael Kambaragwe, Pantaleo, Peter Masika, William Davis na rafiki yake Shaaban Issa, Mlingo, Ferdinand Soka, Mwambuja, Renatha, William Jengo, Furaha Shayo, Mdingi, Fidelis Shirima, Lusekelo, Mlingi, wolfgang Pissa na wengineo wengi tu. Pia maafande kama Meshi, Waziri, Mnguluta (tonge nyama), Hussein, Pili (huyu akiwa bustanini B-Coy) Mwakalasya, Songela, Salamba etc.Nasikia Chita ndo uliikuwa mpango mzima, Mimi Oljoro tulikula bata kwa Maduma E Coy...
mkuu umenikumbusha mbali sana, pale same tulikua tunaoga siku ya kufunga shule tuWengine tulikosa jeshi kwasababu ya sheria kuwa ilishafutwa lakini hapo Same Secondary napo ilikuwa kama jeshi tu.
Wengine tulikosa jeshi kwasababu ya sheria kuwa ilishafutwa lakini hapo Same Secondary napo ilikuwa kama jeshi tu.
Naona Mlale tupo wachache sana huku ww utakua mtoto wa Mpuku.hahahaaMlaleee Songea kwa afande kitomary na Mahmoud ni shida.
Hahaha..chupi ya vip, usiivae ukaendesha baiskeli.Jamaa akaendelea ".. huyu afande alishasababisha mgomo kumbaini B watu wakakataa kula. Huyu alifanya ..... na afande unajua kuwa sisi wanaume tukilala, asubuhi tunapoamka huwa tunakuwa na MIGOGORO........" Lohhh, watu walicheka hadi wakalala na mkutano ukawa umefia hapohapo maana hata afande mwenyewe machozi yalikuwa yakitoka kwa kucheka. Mkutano ulifungwa na Sajenti Manyilizu na luteni Mohamed alijikaza kwa shida kupigiwa saluti. Alipovua tu kofia akaangua tena kicheko.
Mtsimbe,
Duu, hii mbona inajulikana? Mwanaume wa kawaida wakati akiamka, kama damu bado inafanya kazi kawaida na yupo feet basi asubuhi akiamka mashine huwa inakuwa IMESIMAMA. Mashine hiyo wanawake hawana au niseme wanayo ila imekaa vingine. Sasa jamaa alichokuwa akilalamika ni kuwa "mtu unaamka, na mbele yako yupo Matron, na 9 inches imesimama", unahangaika kuipoza na kuifanya ikae vizuri ndani ya chupi, kwa kweli ni STRESS kubwa sana. Hapo kumbuka kuwa kama una chupi ya VIP, unaweza kushangaa umeamka na yenyewe iko kifuani kama sindiria. Unaanza kuhaha kuitafuta ile kaptura yako na hapa Matron kakukalia kooni.
No ila mademu kama kawa na hivyo wanakua wamepimwa UKIMWIHv Kwenye mafunzo hayo unaruhusiwa kupiga gambe?
No ila mademu kama kawa na hivyo wanakua wamepimwa UKIMWI
Hv Kwenye mafunzo hayo unaruhusiwa kupiga gambe?
No ila mademu kama kawa na hivyo wanakua wamepimwa UKIMWI
You have understood siyo!!!!Ahsante,kwa majibu...i have understood....