Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

835KJ

Muimbishaji:Braaaaavooooooo coy oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,
Wote:Ayeee
Muimbishaji:Bravooooo
Wote:Ayeeee
Muimbishaji:Braavoo mamaaa
Wote:Ayeee
Muimbishaji: 😛Piga kelele na shangwe
Wote:Keleleeee
Muimbishaji: 😀Dushee
Wote:Kelele za shangwe
 
Magessa nae alifariki
Namkumbuka siku ya intro tulikuwa nae B coy alituivisha kweli kweli Op 50 Jkt
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Em kama kuna watu humu waliopitia JKT kuanzia op Miaka 50 ya uhuru/ya JKT op sensa na uzalendo.
Naomba mje tupige swaga kidogo kama atakuwepo aliepita 821 itapendeza zaidi.
Mimi ni op Uzalendo.
Karibuni.
Mimi 833kj
 
Hapo kwenye chenja sidhani kama kuna mtu atasahau tena ukute chenja kama lile la malela malela malelaaaa (kiitikolio) malelaaaa malela malela waaanguu namtafutaaa[emoji13] [emoji13] ewiiiii awaaaaaaa mwaga nyuki mwaga nyukii utasikia makruta hapo tsiiiiiiiiiiiiiiiik[emoji23] [emoji23]
Hapo najua raia hawajaambulia kitu
 
Dah aisee me nimepita, 823 kj msange pale tulikuwa mujibu na ilikuwa operation miaka 50 ya uhuru nilikuwa B coy na afande nae mkumbuka ni ng'ombe ilikuwa 2014
Afande Ng'ombe alikua D coy[emoji12] [emoji12]
 
Alikuwa analipenda sana jeshi yule
Nilikuwa napiga nae sana story akiwa na trekta kule mtoni enzi hizo niko kitengo bustani
Unakumbuka mpressure pressure kule bustani.[emoji1][emoji1]
 
Dah aisee me nimepita, 823 kj msange pale tulikuwa mujibu na ilikuwa operation miaka 50 ya uhuru nilikuwa B coy na afande nae mkumbuka ni ng'ombe ilikuwa 2014
Kumbe wengi humu miaka 50 ya uhuru mmekuta namba A.F wa juzi tuu niamkieni kijeshi..
 
Unakumbuka mpressure pressure kule bustani.[emoji1][emoji1]
Aaah kuna jamaa alikuwa hajawahi doji sixweek akawa anamwaga udenda tu tukamhurumia tukampeleka dispensary km anaumwa dokta akampa C3 jamaa alivyoonja radha ya usingiz alikuwa doja hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…