Alex mzee wa ashantSt Mabina na Alex skeleton, siku hiyo Alex alipoteza wacha tupigwe doso *****, chacha alitukomesha aisee . A coy ya DEMO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alex mzee wa ashantSt Mabina na Alex skeleton, siku hiyo Alex alipoteza wacha tupigwe doso *****, chacha alitukomesha aisee . A coy ya DEMO
Haa mkuu kumbe upo huko unakimbiza kimbiza laifu? Kuna chunusi huko na kuna mwaka waliua bonge chatuNiko michungwani naelekea bwawani hapa,
Nilikuwa nimemsahau jina mshenzi yule,Kwenye kwata unakuta yuko na gogo anasubiri nanga liharibu alinyakueKuna jamaa anajiita kipere(gidion)anajua kutesa yule private,usiombe akusimamie shoo ya vascodagama utambeba.
Alafu kuna kurutu aliwahi kupotea hakurudi teh tehHaa mkuu kumbe upo huko unakimbiza kimbiza laifu? Kuna chunusi huko na kuna mwaka waliua bonge chatu
Mwaka gani?Alafu kuna kurutu aliwahi kupotea hakurudi teh teh
Alikuwa afande wetu wa Gcoy. OP miaka 50 jkt.Hakuna kamanda aliyekuwa anatisha kama babu wa loliondo
Aise ila jeshini nidhamu tu,Nikikuwa nikikaona naona kabisa nakafua bila shida ila basi tu,kuna yule private wa kike white mzuri lakini anaroho ya ibilisi nimemsahau jinaAnaboa sana yeye mwenyewe hajui kwata amechoka ila anajua kutesa,ndo tulikuwa nae yule combania barumwina anaitwa jina lingine daah,
ila ukifuata anachotaka akutesi alikuwa anadeal na wasichana wanaoenda kwa service anawaadhil mbele ya combania
Mwaka tumeuhifadhi kwa sababu za kiusalamaMwaka gani?
Yule akukurupue mwendo wa ajabu ndo utaona kisangaAlikuwa afande wetu wa Gcoy. OP miaka 50 jkt.
Six week mkesha ndo utatambua alivyo kichwa kibovu
PoaMwaka tumeuhifadhi kwa sababu za kiusalama
Afande wewe Nina mashaka nawe[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]521 KJ
Alafu hapo utasikia..
Weee kadoji tuu umekimbiza mwili jina tunalo.. mamaye sitokaa nisahau aisee
Baba usinikumbushe maana nilikula kadebra la hatari kama sio vyeti vyangu ***** jeshi lao ningewaachia maana ule nziki nilokula wale washenzi walitaka kuniuwa nadhaniDadeeek!!! ulijiona mjanja kukumbiza mwili jina ukaacha nyuma?!! tuambie ulivyorudi hilo doso lake
Op gani?Mimi 833kj
Kuna Yule alikua sir meja wa D coy alikua na macho flani hivi, sasa yule alitukamata tumedoji afu tumelala kule HQ mike tulibeba dunia kama Masaa mawili sitasahauAhahah nna namba yake ya simu bhan, huwa nafurahia sana nikongea nae nikakumbuka madoido yake hahah
Nilikuwa 832KJ RuvuNlikua C Coy.. 841 Mlale JKT Songea