Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Wakuu mdogo wenu hapa nimepangwa MAKUYUNI ARUSHA mwaka huu tujuzane kidogo
 
Maafande walikuwa viroja sana.

Eti unajifanya una degree. Wenzako wamesoma zaidi wana certificate!

Aliyesema hana appetite ya kula, aliambiwa aazime ya mwenzake aliyemaliza kula. Kwake appetite ilikuwa sahani almarufu mesitini
 
Aliletwa Engineer mmoja toka Radio Tanzania. Alikuwa amejificha miaka kadhaa bila kwenda JKT.
Kufika tu akapewa t-shirt. Kwa kitambi chake iliishia kifuani tu.
Afande akamwambia, usijali ukijifungua hiyo mimba, t-shirt itakutosha. Kama ajizi, ilichukua week mbili t-shirt kumtosha vizuri tu.
 
842KJ Bravo company. 2017 sio poa kwenye kwata ilikua balaa chini ya mzee kusekwa na mzee Veno
 
Wale waliopita kambi ya JKT Mlale, Operation Kujihami kiuchumi mwaka 1982/83 .... Tukutane hapa tukumbushane suruba tulizozipata na MM zilizotumika kuziepuka .... Hasa SM/SW wa B-Coy!.... Karibuni.
 
OP UZALENDO 833KJ TUJUANE... DANGER COY...
Chini ya C.O omarg mmari r.i.p ..
A.k.a. boko haramu.
Sijapata ona c.o mwenye roho mbaya kama yule mzee ndo maana kafa kifo cha kushtuka tuu..
Na M.R .R.S.M mzee wa sindobwakie bwanire[emoji23][emoji23]nae r..i.p [emoji24][emoji24]alikuwa akumkuta stafu na kosa ana muuliza 'wewe unavaa kiatu namba ngapi basi kama stafu akisema labda no.8 basi hapo hapo atamwambia una gurd 8 mein get[emoji2][emoji2]
 
Kule zizini kwa mzee lyaseko nilikjwa nikidoji naenda kulalaga huko au ile nyumba kama ukitoka bwaloni ukipandisha kama unaenda farming kuna nyumba kwenye ile kona ya mwanzo karibu na zizi la ng'ombe na mbuzi wa lyaseko nililaga sana huko ..
Onyo.
Tuheshimiane usiulize mm op gani.
OP UZALENDO 833KJ TUJUANE... DANGER COY...
 
Chenjaaa noma
Chenja hatari, kwanza nikikumbuka introduction to the camp napata kwikwi, guard, kijogoo, cpl pt anasema ana chenja 99999.9999 na anakimbia balaa, kutafuta appetite unakimbia km 10 alafu unapewa slice moja ya mkate na chai bonge la kikombe, kwata just kali uwanja was damu una mawe balaa na miba, kupita mzani kwa kwanza yaaani ilikuwa balaaa acheni KIMBIJI JKT idumu maana Kuna cpl ABIAS SOKOMOKO, HUKU CPL BAGENI, HUKU CPL. OLOMI, HUKU CPL GEORGE HUKU CPL. MASATU huchomoki alafu camp in chatu balaa ukiwepa dk 2 usizinzie unakoroma kabisa mpaka uamshwe yaani ilikuwa balaa daily kupiga gofu pale mwembe majungu kufoleni
 
Nakumba JKT RUVU operation vyama vongi 1993/93 alipotutembelea mkuu wa JKT na kushangaa tunakunywa chai na mikate yeye anakadai hajawai kusikia wala kuona askari wakiwa kambini wanakunywa chai.Nilikuwa Combania F vibwende ndiyo njia yangu ya kutoroka.Nyoka kibao.
Op moja nawe, mi Oljoro.
 
Kule zizini kwa mzee lyaseko nilikjwa nikidoji naenda kulalaga huko au ile nyumba kama ukitoka bwaloni ukipandisha kama unaenda farming kuna nyumba kwenye ile kona ya mwanzo karibu na zizi la ng'ombe na mbuzi wa lyaseko nililaga sana huko ..
Onyo.
Tuheshimiane usiulize mm op gani.
Oljoro JKT hiyo muzee.
 
Back
Top Bottom