afande ward, njovu, kapugi, captain nduguru, martin, na wengne wengUnafahamu jina la mkufunzi yeyote pale 838?
2014, we ni afande wangu sojaHahahahh mkuu umenikumbusha yale maeneo.....nimetoka kule 2014 ndy intake ya kwanza pale!!
Sawa kijana wangu, vp upo chuo gani sasa...afande ward, njovu, kapugi, captain nduguru, martin, na wengne weng
Chini ya C.O omarg mmari r.i.p ..OP UZALENDO 833KJ TUJUANE... DANGER COY...
OP UZALENDO 833KJ TUJUANE... DANGER COY...
Sawa kijana wangu, vp upo chuo gani sasa...
M nilipita apo OPARESHENI YA VIWANDA..ss wa mwaka jana maramba JKT mpo mujb wa sheria
mwaka ganM nilipita apo OPARESHENI YA VIWANDA..
NIlikuwa C coy.
Chenja hatari, kwanza nikikumbuka introduction to the camp napata kwikwi, guard, kijogoo, cpl pt anasema ana chenja 99999.9999 na anakimbia balaa, kutafuta appetite unakimbia km 10 alafu unapewa slice moja ya mkate na chai bonge la kikombe, kwata just kali uwanja was damu una mawe balaa na miba, kupita mzani kwa kwanza yaaani ilikuwa balaaa acheni KIMBIJI JKT idumu maana Kuna cpl ABIAS SOKOMOKO, HUKU CPL BAGENI, HUKU CPL. OLOMI, HUKU CPL GEORGE HUKU CPL. MASATU huchomoki alafu camp in chatu balaa ukiwepa dk 2 usizinzie unakoroma kabisa mpaka uamshwe yaani ilikuwa balaa daily kupiga gofu pale mwembe majungu kufoleniChenjaaa noma
Op moja nawe, mi Oljoro.Nakumba JKT RUVU operation vyama vongi 1993/93 alipotutembelea mkuu wa JKT na kushangaa tunakunywa chai na mikate yeye anakadai hajawai kusikia wala kuona askari wakiwa kambini wanakunywa chai.Nilikuwa Combania F vibwende ndiyo njia yangu ya kutoroka.Nyoka kibao.
nilikuwa magogoni lile bwawa lilinipa kichocho bado lipo?OP VYAMA VINGI 92-93 PALE MARAMBA,Det Matumbili na Det Magogoni mnazikumbuka
Oljoro JKT hiyo muzee.Kule zizini kwa mzee lyaseko nilikjwa nikidoji naenda kulalaga huko au ile nyumba kama ukitoka bwaloni ukipandisha kama unaenda farming kuna nyumba kwenye ile kona ya mwanzo karibu na zizi la ng'ombe na mbuzi wa lyaseko nililaga sana huko ..
Onyo.
Tuheshimiane usiulize mm op gani.