mtemiwaWandamba
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 561
- 223
Mimi operation Kambarage 1990/1991. Oljoro/Makuyuni. Naomba niandikie mistari yote ya wimbo wa kulekule kwa chinoma/chinova! nimeusahau. Namkumbuka sana Afande Kunesa/Salum wa jikoni. Ukimwambia chakula kidogo anakujibu, mwaga kanywe maji kalale.
832kj. 2013. Bcoy kwa afande nyoka na ndunguru
Mkuu, tulikua Intake moja hapo Oljoro JKT. CO akiwa afande Mirudi. Mimi nilikua combania "G" kwa "Sergeant wa jeshi" Mwambuluma. Bila kumsahau CI Captain Mlimba.Hayo yote waliyoongea wakubwa hapo juu yamenifurahisha na kunikumbusha mbaali sana,,,,nakumbuka mwaka 1993(operation miezi sita) mie na rafiki yangu aitwae gwakisa tulianza safari tokea mbeya kwenda arusha kambi ya oljoro,,,tulifika njia panda ya oljoro hiyosehemu inaitwa mbauda, mie na jamaa yangu tukashauriana ngoja tupate bia hata moja moja pale,,eneo hilo lilikuwa linauzwa bia pamoja na mbege,, tukaagiza bia moja moja na kikopo cha lita moja ya mbege,,,,,,,kwenye kona kabisa kulikuwa na bwana mmoja amekaa anakunywa mbege huku akituangalia sana,,,,,na kwa kuwa stori zetu yule mhudumu dada alitusikia kwamba tunaelekea kambini oljoro,,,akamstua yule bwana aliekaa pale pembeni akatumaki sura zetu vizuri,,,,,kesho yake yule bwana alizunguka kombania zote akitutafuta kumbe ni corporal alikuwa anaitwa HEKAHEKA akatudaka wote tuko kombania moja E(eagle coy) saa meja alikuwa anaitwa maduma ,,,huyu bwana alisema kuruta unakunywa bia wakati hekeheka anakunywa mbege leo mtakoma,,,, tulipewa adhabu sitosahau.
NCO coursesMiaka ya zamani msimu wa nyahenge kozi ya awali JW Ilikuwa inafanyika hapo
Sabufa nahisi kahama m nilikua hapo 2014 msenge bufa anamabiti hatari kinouma nouma[emoji23][emoji23] nimekutangulia kidogo 2015 OP kikwete ,
Sabufa yupo kweli pale??
Labda awe kahama miaka ya karibuni ila 2015 sie na 2016 kuna mdau hapo juu kathibitisha alikuwepo.Sabufa nahisi kahama m nilikua hapo 2014 msenge bufa anamabiti hatari kinouma nouma
Moja ya uzi pendwa nilianza kuufatilia kabla sijaingia jakata mpaka leo ninapost kupitia hela nilizozipata huko huko
Kwa wale tuliokuwa nao Mlale JKT, Operation Azimio la Arusha, 1987/1988. nadhani mnawakumbuka afande Pilato, Nguvu ya Nyani, Mtono(RIP) na vijiwe kama Lusonga, Magagula, Mlandizi, Chipole
Baba wewe intake ya 16 maana hiyo story unaowasimulia nawafahamu sana mosi sasa ni meja
Poa baba ila kifaa kanyatta ni nomaYa 15 baba
Oljor tope mvua ikinyesha mawe ile barabara ya sitmwinyi kwenda mizabibuni.maama jkt maaama napeeenda......Wale wa Makutupora na Ol joro.....
Mgambo mojaa hiyooo...Jamani nimekumbuka 835 kj