Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

IROKOS, Hiyo ilinitokea bustanini sina ndo washenzi waliipitia hangani dadeki waliniburuza kule visimani nilikroo kwenye matuta hadi nikawa kama kinguruwe mwishowe nikapewa adhabu ya kuwa chura[emoji21][emoji21] basi mle mle nilijifu hadi green vest na pitshort vikakauka
 
Pale nimepiga 2010 op uzalendo farming nimekaa sana nimedoji sana kulala zizini kwa mzee lyaseko kule na wakati mwingine tulikuwa tunaenda hadi kwa bibi kule kama unaenda nadosoito (shamba la embakasi unavuka unaenda hadi umasaini huko kuna bibi alikuwa anauza kila kinywaji hadi bangi na ugoro)
 
Kweli kabisa mimi siku nimedoji shamba kupalilia 833kj oljoro shamba la dunia naingia mtoni nimefuma prvt na A.K.C kamuinamisha kule mtoni anakula mzigo basi yule demu kumbe wa kombania yangu kabisa yule prvt kanikimbia alizani mimi naenda kukamata kumbe nakimbia na mimi kivyangu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
mademu mnaliwa sana na MT vidude vyenu ndiyo vinawapa cheo na chamce kwa maofsa.
 
Dah hatari sana kule...embakasi kulikua na mbuyu mkubwa sasa zile pilika za kudoji kuvuna mahindi tunaenda kujificha kwenye mbuyu huko tunapiga sana mibuyu kwa mawe.....Kingine nilifurahia afande mmoja alipenda sana mpira sasa siku za mpira (world cup 2014 Brazil ) anatumwaga mapema.... Afande Niko, Afande Bashiru na afande Juli na afande Ndibalema mlitujenga saan pale J coy Mungu awaongoze sana.....
 
Kweli mwanangu umepita 833kj kuna korongo moja kule mbele embakasi tulikua tunafata mchanga kwa ndoo unapiga round kama 4 afu ukicheki huo umbali sio mchezo.....Hakuta tusi hutalisikia JKT utatukanwa kila tusi ila we huruhusiwi hata kutikisika cha msing tukania moyoni.
 
Hahahaha alafu wanapigiwa miti maporini
Siku mkiwa na fatiki mnakuta kufuli zimekatwa na wezi wamekimbia na mali.
 
2009,833Kj nilienda kulinda kituo Embakasi dig dig alipita gard kamanda akampiga chuma tukamchoma na kuanza kumla....miaka iyo Embakasi kulikuwa na sungura wengi sana na digi digi kama wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulinikuta nilikuwa sr wako kipindi icho mm ni service man.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo juli na ndibalema niliwaacha hao wengine nadhani wageni vipi mp mwenye kiherehere eliudi bado yuko?
 
Ukiona hujachukuliwa jua kuna kitu wamekiona kwako hakipo sawa, wale jamaa unaishi kawaida mule ndani wanawafuatilia mmoja hadi mwingine toka mafunzoni na hadi mnamaliza na kubaki pale kwa mkataba. Kama ukionekana na chembechembe za kutofaa kuwa jeshini, unaweza kusota sana
 
Kuna demu mmoja (jina kapuni) kwa sasa ni trifik kapangwa huko tanga asee alikuwa anainamishwa balaa kipindi cha 6 week usiku wakati mwingine eti tunapelekwa bustanini mstari mmoja usiku tukifika pale amara pembeni kuna hanga la ma prvt basi anachomolewa anaingizwa ndani anapewa mambo huko tukirudishwa tenabanachomekwa katikati ya msafara basi tunarudi usawa wa kombania kuendelea kuimba chenza zetu kama kawaida[emoji1]
Hahahaha alafu wanapigiwa miti maporini
Siku mkiwa na fatiki mnakuta kufuli zimekatwa na wezi wamekimbia na mali.
 
Jeshini ndiyo maana tunawaita hawa ma MTM ni kwa ajili ya maburudisho tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…