Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

I mean vijana walikuwa na morali huku ikichagizwa zaidi na jinsi walivyokuwa wakihudumiwa,kuanzia chakula kilikuwa kizuri,mavazi walipewa bure baada ya kuripoti kambini pamoja na vifaa kama neti,viatu nk.
Mm ndo nilipiga hyo
 
Joowzey ivi unaniona me malaya mpaka niliwe na makoplo...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wangeishia kumeza mate tuh
Sio swala LA kuwa Malaya ni either uliwe kwa hiari yako au kwa lazima...

Speaking from experience mm nimepita huko na nilikuwa kiongozi nilikuwa karani, wanawake waliliwa sana tena wengine ofisini kwangu kabisaa..

Utafanyiwa visa mpaka mwenyewe unaachia mzigo...adhabu wewe,kazi ngumu wewe,kupigwa wewe,yaani mpaka utakubali tu.

Nilikuwa nawaonea huruma sana sema ndo vile sikuwa na namna ya kuwasaidia
 
Niliripoti Mafinga JKT na wenzangu, tukitokea HQ mlalakuwa Dar. Tukapangiwa F coy... Kesho alfajiri baada ya amsha amsha tukapelekwa shambani. Hapo tuliokuja jana tukawa hatujapewa makombati na bukta, tukaanza kupangiwa vipande vya kulima kila mtu hatua 30 upana kwa hatua 50 urefu. Fasta nikajipinda kuanza kulima, na baada ya masaa kama 2 au 3 nikawa nakaribia kumaliza ngwe yangu.

Ghafla akaja afande mwingine mbali na yule tuliyeanza naye alfajiri na aliyesimamia zoezi la kupima vipande. Huyu afande mpya akatoa amri upimaji ufanyike upyaaa, daah aiseeee kupima upya mimi nikajikuta nimepewa eneo jipya ambalo ni bonge la pori!!! Nikamfuata yule afande kulalamika kwamba this is not fair...

Yaani sijamaliza maelezo akanishushia bonge la kibao, nikaanguka chini, nikafleti... Ile kuzinduka namuona amesimama pembeni, nikajizoazoa huyooo nikajifanya naenda kulima kumbe nikaenda kujificha porini nikijua kwa akili yangu mimi mgeni hawatanikumbuka. Baada ya masaa kadhaa nikasikia watu wanatafuta porini, huku wakuambiana alivaa tishet nyeupe ya breweries na suruali ya kaki.... Walinisaka mpaka wakanipata, nikapelekwa tena kwa yule afande.

This time hakunipiga bali a nakuambia piga push up, Sasa Enzi zile tulishajiweka vizuri na push up so nikapiga nyingi tuu... Baadae akaniambia haya simama then kimbia mpaka kambini... Nikaanza kukimbia huku naye anakuja nyuma yangu mpaka kambini.... Akaniambia haya leo adhabu yako umeishia hapa.. Daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kibakuri komando saiv ahaha mgambo jkt

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha haya ndo tulianza nae mkesha wa kwanza aise, alitutesa sana akiwa na idd, bahati, grace. Alikuwa anasema tuiname afu tukate mauno anasema tu seme shaaaah, mtu ukizungusha vzr mauno unakula tano ndefu nikikumbuka huwa nacheka mwnyewe

Na tulikuwa tunaimba sasa ni saa ngpi wengine wanaitikia sasa ni saa 2 muda wa kulala kumbe hapo ni saa tisa usiku au inakalibia saa 11 ila yote yaliisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LUKAMA, [emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamaa huko kukata kiuno na kutamka neno SHWEEAA umenifanya nicheke kama fala, haya majanga yalinikuta nilikuwa bado sijaanza kusumbuliwa na miguu nilianza kusumbuliwa mkesha ushaisha. . Yule afande kibakuli siyo kabisa.

Unakumbuka siku ile ya mkesha kuna boya mambo yalimshinda akatoroka, jamaa alikuwa anatoka mbio risasi ina nafuu, walimkosa. Kurudi Kibakuli kakasirika yupo na timu yake, tukakunja ngumi. Jamaa wanapita kukagua mikono na miguu ukiwa unategemea unachezea buti au fimbo.
 
Dah Oljoro Jkt 2014 hio n mwendo wa mabio chenja kama zote,kuvuna mahindi embakasi na shamba dunia,nilikua combania J na OC Kiwangu alikuaga mtu poa sana mzungu wa roho hana mambo mengi.... N mwendo wa kutunza kijogoo kwenye tranka,kula mahindi makavu .....Bila kumsahau mrembo wa kombania Irene Musobi
 
mi nakumbuka siku wakorofi wote tulipopigwa bogi toka oljoro kwenda camp ya makuyuni pembezoni mwa mbuga ya manyara ile kufika tu , tukakutana na twiga pundamilia na swala ndani ya camp, si tukawaza kuwa lazima simba wawepo maeneo hayo pia, kesho yake asubuhi tulitega kazi kwa kisingizio cha kuliwa na simba, iliamriwa tukamatwe wote mara moja na kupelekwa getini, basi ilikuwa kama kuku wa kizungu hamna hata mmoja aliyeweza kukimbilia porini kwa kuogopa simba , tuliokotwa wote kwa uoga wetu, lakini baada ya mwezi mmjoja tulikuwa tunatoroka usiku na kutembea km 25 porini na tulipishana si nasimba tu hata na chui mwenye watoto. kweli jeshi zuri.
Makuyuni mwaka gn?
 
Wapi op maghufuli maramba 2016
ahahaha namkumbuka sana afande sanga na mwezake ngailo. daaah kuna sku ngailo katurolisha pale uwanjan mpaka sio poa. ila kiukweli pale tumeinjoi asee [emoji23][emoji23][emoji23]

kuna huyo afande manyama wa D coy ukiskia yupo zamu yaan unawahi kufoleni mwnyw afu alikuwa anatupigisha kwata hata saa 9 za usku daah yule mnyama siooo poaaaa.

afu kuna huyo afande duba yaan yy mkiwa kwny folen ya chakula anakaa mwishon mwa folen ....kuruta wa mwisho akishapakuliwa chakula tu yy duba anaenda kuwaita kwa kawimbo "[emoji444]denja koiiii foleeeni denja kooiii woootrrr foleniiii [emoji443] sasa ww jidanganganye uchelewe hata sekunde moja[emoji441]" utabeba dunia mpaka uchanganganyikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishu ni kuwa kila alieko huko anaamini ataenda tpdf.
Yaani inatoka oda labda watu fulani vijana wanahitajika siku hao wahusika wakija vijana wanaringa kufanya usahili eti wanasubiri tpdf waje wengine hata polisi wakija wanagoma kufanya usahili wanataka jw mwishowe jw hawaji polisi wasapita au tanapa au chombo kingine ambacho hakiweki wazi ni watu gani hapo vijana wanajikuta mkataba umeisha na usahili waliotaka haujaja
JKT ni CHEAP LABOUR.Huu ni ukweli mchungu.Nawaona wanavyolima mwisho mkataba ukiisha wengi wanabaki kuwa na majuto .
Nchi hii sasa inaitaji kuishi kwa akili sana.Usiende kule kama ujapewa connection ya MTU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weee unaongea mbona unakubali mwenyewe?tena nyie ndio mnasababisha combaini yote inapewa adhabu kwa sababu ya kukataa kutoa papuchi
Joowzey ivi unaniona me malaya mpaka niliwe na makoplo...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wangeishia kumeza mate tuh
 
Back
Top Bottom