Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,386
- 1,207
Nakumbuka kwa mzee J.S.Warioba pale Nyamswa. Nilikuwa de touch ya Rwamkoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee umenikumbusha Chahe aiseee. Huyu jamaa ana roho mbaya Malaika mtoa roho akasome. Ana rafiki yake ngaugula Ni wanna sijapata ona.sintosahau mkesha wa 'usiku wa mwafrika' pale ruvu uliosimamiwa na luteni chahe akishirikiana na kapteni mhagama na akitanda
Nimewapikia Vijana chai kwa maji ya visima sanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kulaa sana nyamaa pale jikonii wana wakiwa wanalima kwa msanga kuleee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabio nakimbilia kwenye machungwaa kule kisimaniiiHahaa. Kombania C, kombania ya demo, mberee temb... Hault! Hapo ni Mgambo JKT Operation Nidhamu, wiki 2 za mwisho adhabu Kali kwa tuliochelewa foleni ya kwenda kula tukidhani hakuna shida. Shikamoo jeshi, Nina nidhamu za kutosha!
Hahaa. Kombania C, kombania ya demo, mberee temb... Hault! Hapo ni Mgambo JKT Operation Nidhamu, wiki 2 za mwisho adhabu Kali kwa tuliochelewa foleni ya kwenda kula tukidhani hakuna shida. Shikamoo jeshi, Nina nidhamu za kutosha!
Alikuwa Dr huyo shelukindo??Namtafuta afande wangu maìsha yangu yote nimekuwa mzee nimestàfu nina hakika kwa umri ule atakuwa amestaafu.
Alikuwa ni staff Sajenti by then 1986 Ruvu JKT aliokoa maìsha yangu malaria ilipanda kichwani akalazimisha gari main gate nipelekwe Tumbi Kibaha wakati huo kulikuwa na outbreak ya ķipindupindu na homa ya uti wa mgongo(meningitis ) kwa weledi wake akalazimisha gari itoke kama sìo leo ningekuwa RIP namtafuta huyu mutu alikuwa anaitwa staff Sgt Shelukindo
Hahahahaha Mamuya mbabe huyu[emoji24][emoji24][emoji24]pole sana mkuu, hakika kila binadam ni muhim hapa dunia, maafande wangu wa Roadgan, kuku coy, main get mamaangu mpendwa kamanda Mamuya mkuje huku, wananchi wazalendo tuko pamoja, I miss them very much..
Namiss sana hanching hanching position[emoji58][emoji58]
Hahahahaha Mamuya mbabe huyu
Anaitwa Kashoka si KishokaAfande kibakuri kombani B na matron grace, idd na bahati combination hii sitaisahau hadi nakufa
Saa 11 alfajili kama utani kuanzia saa 1 jion
Afande kishoka na kafufi
Komsanga, genda kenda na kwa bojo #2014
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wa Makutupora na Ol joro.....
We jamaa me nakufahamu hassani mambosasa tulikuwa kombania mojaAnaitwa Kashoka si Kishoka