Afande kibakuri kombani B na matron grace, idd na bahati combination hii sitaisahau hadi nakufa
Saa 11 alfajili kama utani kuanzia saa 1 jion
Afande kishoka na kafufi
Komsanga, genda kenda na kwa bojo #2014
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaitwa Kashoka si Kishoka
Jeshini ndiyo maana tunawaita hawa ma MTM ni kwa ajili ya maburudisho tu
Kuna wengine walikuwa wachafu balaa mtu green vest inatengeneza hadi ukoko ivi anaweza asifue week mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilete hiyo, yule Matron namzimia kinyamaNgoja nitarudi kwa haka ka story ka matron sarafina matukio kama haya siwez sahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kuruta mmoja wakati tupo 832kj wa kuitwa janeth tulikua nae E-coy, alimteka afisa mnoja basi usiku rokoo coy yetu inakua ya kwanza kumwagwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Combania gani mkuuHuu uzi umeanzishwa mm hata siwazii jeshi ndo kwaanza op uzalendo oljoro
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uzi umeanzishwa mm hata siwazii jeshi ndo kwaanza op uzalendo oljoro
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenifanya nicheke mkuuMama TPDIIIII mama napenda jeshi
Mama TPDIIIII mama napenda jeshi
Jeshiiiii morali eeeehhhh...
Aiyayayamama aiyayaya aiyayamama aiyayaya jeshiiii morali eeeh..
Sent using Jamii Forums mobile app