Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Haaa hata sisi kuna mmoja basi rokoo akija akishamwita jina akaitika basi hapo hapo anasema wote mpo kalaleni hii ni ile usiku saa nne[emoji2][emoji2]
Kuna kuruta mmoja wakati tupo 832kj wa kuitwa janeth tulikua nae E-coy, alimteka afisa mnoja basi usiku rokoo coy yetu inakua ya kwanza kumwagwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruvu JKT A COY 1993/94
Namkumbuka Matron Zera Buzoya,Afande Kibuyu,Afande Sahani,Sir meja Godwin
Daaaah Maisha yalikuwa mazuri yenye mafunzo.
Nilifanya fujo Kota gadi ,nikavaana na Mp kamanda alikuwa anaitwa SADAM
Daaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebwanaeee wanangu wa 838 Maramba jkt operation Magu....Mashamba dunia Kama yote, aisee daaaah
 
Kipindi nipo JKT pale Mgulani niliwahi kushiriki shindano la kula Chapati na Soda
Nakumbuka niliwahi kula Chapati 20 na soda tano kwa wakati mmoja
 
Afande bafeni D COY pale RUVU JKT 2014
Nilikuwa nabust sana kwenye misos, niliwahi kusepa na misos kwenye beseni nkaenda kulia angani halafu nkashindwa kutembea.
Nilikuwa dogger hatari.
Kuigiza mgonjwa wa kudumu.
Kucheza hasa kigodoro.
Madoso Yale hatarihatari.
Chenja.
Jkt raha.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom