mwaka gani mzee baba na wapi
Sawa saw mzee babaIlikuwa kabla ya kusitishwa kwa mafunzo ya mujibu wa sheria mwaka 94’ hiki ndio nachoweza kusema .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Bwge tu yule akilewa hajielewi. Alikua na swahiba wake wa kuitwa zawadiBafeni nahisi alkua Bravo kipindi chetu
2013 intake ya kwanza kabsa OP miaka 50
Nilikuwa nna dem wangu ambae ni mtm(boss wangu humohumo ofisini) ndie aliekuwa akinipa maisha from the beginning...kuanzia kula 5 kila saa,misosi ya maprivate kila siku,nguo zile green vest,pt short,fedha Mara kwa Mara za matumizi,papuchi,gate pass,bila kusahau kazi ambayo ilinifanya wengi wanionee wivu.
Bwge tu yule akilewa hajielewi. Alikua na swahiba wake wa kuitwa zawadi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi zawadi bado yupo pale kwel maana ilkua kdgo tu yan haya mambo bana......
Du! Mkuu, hiyo kali sana! Jamaa akadai ana C ya Matron? Nadhani hakuwa ameelewa. Maana kule wala huwezi kudanganya wote mnakuwa kwenye Green Vest za Kijani na Blue Bukta za Bluu.
Vipi, hakupata Dirill?
Mzee ukiwa na C maana yake we unakula bata tu
WaziiiiWe jamaa unaelekea tunajuana sema ki jei f wacha tukaushiane ha ha ha au unasemaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uliiva hadi uliunguliaNilikuwa nna dem wangu ambae ni mtm(boss wangu humohumo ofisini) ndie aliekuwa akinipa maisha from the beginning...kuanzia kula 5 kila saa,misosi ya maprivate kila siku,nguo zile green vest,pt short,fedha Mara kwa Mara za matumizi,papuchi,gate pass,bila kusahau kazi ambayo ilinifanya wengi wanionee wivu.
Fatuma popote ulipo Mungu akubariki,nakukumbukaga sana
mzee baba ulipata lini pale mgambo nilipita #2014
Mwaka gani kiongozi, mtabila hio, kabasazi ya chini, AA, AB, AC, HQ na GzoneMamaee [emoji23][emoji23] nilikuwa 825 kj Yale maisha acha tu after six weeks nikaanza kuwa mjanja kushinda porini tu plus kujichomeka kwenye vitengo
Sent using Jamii Forums mobile app