Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

[emoji28][emoji28][emoji28] 842 kj mlale

Sitasahau siku nimekula doso mlangoni kisa nilitaka kwenda pasi huku nimevaa pensi. Siku hiyo nilipigwa doso toka saa 2 asubuhi mpaka saa nane wengine walivyorudi pasi

Op uadilifu 2008
 
Wapi mangi kibiro, gama, mzee zengo na moyo. embakasi, 842kj dah ipo siku nitaelezea life ya jkt humu.
[emoji28][emoji28][emoji28] 842 kj mlale

Sitasahau siku nimekula doso mlangoni kisa nilitaka kwenda pasi huku nimevaa pensi. Siku hiyo nilipigwa doso toka saa 2 asubuhi mpaka saa nane wengine walivyorudi pasi

Op uadilifu 2008
 
Sitasahau siku dawiri wa kombania yetu alipokamatwa pori akiliwa uroda na afande.. Yan tulikula doso si la kitoto hatukulala usiku wote na asubuhi mbio kama kawaida... Tulikunja ngumi... Mapenzi ya nyoka.. Kutembea kibatabata nk yaani usiku kucha na kadada kenyewe kapo kamelala maana kalikuwa kagonjwa ka pumu..
 
Nilikua chalii wa C coy alafu nilikua doja laana
Siku moja nilidoji nikakimbizwa na fande alafu kama jini vile nikapotelea chooni, yani namaanisha niliingia chooni alaf sijatoka afande nae akaingia kanitafuta bila kuniona

Jiulize nilijificha wapi? Nikiingia kwenye pipa la maji ya chooni alaf pipa lenyewe limejaaa maji full nilikua naibuka kidogo juu navuta hewa sekunde mbili alaf narud nazama ndani ya pipa dakika 4

Madoja wenzangu huko nje walipigwa tifu laana walikwepa ndege masaa 8
 
Jkt kanembwa 824 kj Afande CO bwegoge,
Chief instructor alikua Captain sebastian Tesha saivi ni major.
Kulikua na Luteni Mwakyobwe akahamishiwa mtabila afande mpenda kuruti ni major sasa uyu jamaa.
Private Marwa asee pt instructor
Marehemu magesa mboje mzee wa doso jamaa alikua anajipiga doso mweyewe anaruka uchura kilometer nne kutoka nduta hadi maini gate.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jkt kanembwa madawili walikunya pembeni wote wakaambiwa wachukue mavi kwa kidole na kuyapaka kwenye ndoo.watoto wa mujibu wakishua sijui st kunani walilia haoπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wazi Soja.
 
Mgonjwa wa kudumu aliwaponza
 
Nimekumbuka msange Tabora OP Kikwete 2015, E coy chini ya OC Jomo, na Sir major Mudo, kuna siku tulikuwa tunapanga tanuru ile tunamaliza akapita luteni mmoja hivi jina limenitoka akatwambia hilo eneo tulilo panga Tanuri hapatakiwi kuchomea hapo tofari kwahiyo tupangue tuhamishe tofari na tupange upya, alafu hapo jua limewaka balaa niliishiwa nguvu nakujilaani, ila nilivyozoea mazingira nikaanza kudoji, maisha ya Msange vyoo hakuna tunajisaidia kwenye shamba la mahindi, nilivyoona shida zinazidi nikajiunga ngoma COY huko nikuimba tu na kukata mauno na wagonjwa wa kudumu nimemic sana Mesi kwa afande Mafleta, maisha ya JKT yalinijenga naweza kuishi sehemu yoyote iwe mjini au kijijini
 
Operation orjolo?au
 
Duuh aseeh inabidi tuheshimiane humu mtu mwaka 70 kamaliza form six [emoji23] [emoji23]. Mimi nimeshajitoa kuwa na heshima ya hali ya JUU humu tupo na baba zetu.
Dah asee... Nimekoma kujiita babu. ***** zangu sana mimi
 
[emoji743]πŸ†„πŸ…»[emoji745]πŸ…Ό[emoji743][emoji743][emoji745]πŸ…»[emoji742] πŸ†ˆ[emoji742] πŸ…³πŸ…΄πŸ…Ό[emoji745]
 
Kukwepa ndege huku umebeba gogo ndo balaaa[emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
OP Kikwete MGAMBO Jk 832 daah dada wili si akamchoma private kuwa anamtaka alafu alikuwa mtoto wa Mkubwa balaa yani yule Private alipiga magoti mbele ya Kurutu 2000 anamuomba yule binti msamaha alafu demu mwenyewe Mbovuu kinomaa Maafande walitukana balaa yani achaa tuu.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamani baada ya lile tukio Tulikulaaa kazi yanii mateso yale hapanaa ikawa kama Course ya Kadet mamaee week 6 zilikuwa Chungu mnoo kuna siku tulilazwa kwenye Mvua inanyeshaa dadekii kesho yake nikasema wakirudia tena natorokaa yanii napiga mguu kwa mguu mpaka niipate lami...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ilaa baadae nikaja kuwa doja balaa wakagawa vitengo picha linaanza nikakimbilia Upishiii...baadae nikawa nadoji msituni tu sieleweki nipo wapi then nikajiunga Ngoma Coy kwa wazalendo nilikuwa nalala kuanzia asubuhi mpaka jionii naamka kulaa tuu. Nilirudi jeshi shavu hilooo mpaka nikatamani kubaki yani wakanipa na 150k ya nauli enzi hizo za JK mambo safii.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
mafinga JKT 1988/89 (program ya chama) Mkuu wa kikosi aliitwa kanali Mlay, we! hatareee ya danger weka mbali na watoto!
Alikuwa akiogopewa na kila mtu hadi askari wenzake, bora ukutane na kifutu kule idetero au dubliganga kuliko ukutanae nae.πŸ™„
D-Coy alikuwepo mtu anaitwa nusu mungu, aliwahi kumpa adhabu binti mmoja kuruta ya kumwangalia usoni, alilia hadi alijikojoleaπŸ˜€
 
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]huyu afande alipata aibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…