Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Tuliokuwepo 821 KJ Bulombora Operation Kujihami 1982/83 karibuni tujikumbushe enzi za Mkuu wa Kikosi Lt Sandi Ligati na Msaidizi wake Major Lyanga. Nawakumbuka baadhi ya makuruta wenzangu wakati huo kama Okuli Swai, Esther Nyagawa, Winifrida, Gaspar Mboro, Chikomele, Mneney, Kennedy Fungamtama, Ambali, Zahra, Mwingira na Abgel Nyange!
 
Naikumbuka mzee nilikuwa humo[emoji23][emoji23][emoji23]. Ilibidi nimtafute yule manzi nimuone, nilicheka sana afande kujichanganya pale!
Yani Kenge sana danger coy ndo ikawa kama gerezaa...Kina afande hassan aisee walinyoosha watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Demu mbovu hasa yule afande nae kweli kila mtu na macho yake. Kuna kidemu kilikuwa ni Kimatron sema in service bado kalikuwa kanatembea na Maofisa wakike wenye vyeo hivi jamani yule demu ni mzurii hapana aisee nashindwa kumsahau...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Afadhali angekula yule

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
[emoji16][emoji16]labda alidhania ingekuwa kitonga! mkesha wa kesho yake tulikuwa na yule jamaa anaitwa kipele, ule mkesha ulikuwa na vilio vya kila aina usiku mzima tifu!
D mlikuwa na afande wenu yule alikuwa kama ananyoa kipara aliwahi kunipiga konzi kidogo nipoteze fahamu, dah[emoji28][emoji28]!
 
Ila maisha ya 842 hapana kulikuwa na wazee wachawi kinoma wakaja kutawanywa wote..namkubali mwamba alikuwa anaitwa sgt meza huyu mzee alikuwa mbabe kinoma [emoji2][emoji2]
 
Aisee kipele balaa na rungu lake mwehuu yuleee...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Waliaalikanaa yaniii baba yameharibu kazii hukuu yanyeeeeeee....

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Aisee kipele balaa na rungu lake mwehuu yuleee...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Waliaalikanaa yaniii baba yameharibu kazii hukuu yanyeeeeeee....

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Aisee kile kijamaa tumehangaika nacho sio poa, mkesha wa kwanza tulifungua nae, mkesha wa mwisho tulifunga nae!! Aisee ilibidi mwisho wa kozi tupewe nyota kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee kile kijamaa tumehangaika nacho sio poa, mkesha wa kwanza tulifungua nae, mkesha wa mwisho tulifunga nae!! Aisee ilibidi mwisho wa kozi tupewe nyota kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatari sana...!!

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Mimi ndio huyo mmoja niliyebakia
 
Sisi kwetu kunaM.P alikuwa anaitwa full kujiachia. Yaani akikupa adhabu anakurusha kichura alafu huku yeye anasema ""utakufa na chako mfukoni kama unacho toa upone"basi ukisikia anasema hivyo ukitoa buku akiliona utasikia "sasa je mambo si ndio hayo?haya simama juu aaapuuuu. hapo adhabu ndio imeisha hivyo yeye anaendakukewa zake.[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa na mbavu ngapi ?
 
Mkuu ni 835 KJ sio 832 KJ,

Op ya miaka 50 ya Muungano hapo hapo Mgambo, enzo hizo mzabuni ni Kimbinyiko,
CO ni Meja kanole, captain ni Mberenje, Luteni Masalu RSM muuya, afande mkorofi alikuwa kashoza, Sam na Tungu (MP)

Tumevuna sana mahindi
Tumekula sana dose
Tumenyeshewa sana mvua

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hata mm nilishangaa, navyojua 835 ni mgambo, 832 ni ruvu na 834 ni makutopora
Japo nimetoka muda jkt lkn bado nazikumbuka hizi code

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…