rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Yani acha tuu wenzake walimind hasa yanii...!! Course ilikuwa ngumu acha tuu...[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]huyu afande alipata aibu!
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani acha tuu wenzake walimind hasa yanii...!! Course ilikuwa ngumu acha tuu...[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]huyu afande alipata aibu!
Naikumbuka mzee nilikuwa humo[emoji23][emoji23][emoji23]. Ilibidi nimtafute yule manzi nimuone, nilicheka sana afande kujichanganya pale!Yani acha tuu wenzake walimind hasa yanii...!! Course ilikuwa ngumu acha tuu.
Yani Kenge sana danger coy ndo ikawa kama gerezaa...Kina afande hassan aisee walinyoosha watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Demu mbovu hasa yule afande nae kweli kila mtu na macho yake. Kuna kidemu kilikuwa ni Kimatron sema in service bado kalikuwa kanatembea na Maofisa wakike wenye vyeo hivi jamani yule demu ni mzurii hapana aisee nashindwa kumsahau...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Afadhali angekula yuleNaikumbuka mzee nilikuwa humo[emoji23][emoji23][emoji23]. Ilibidi nimtafute yule manzi nimuone, nilicheka sana afande kujichanganya pale!
[emoji16][emoji16]labda alidhania ingekuwa kitonga! mkesha wa kesho yake tulikuwa na yule jamaa anaitwa kipele, ule mkesha ulikuwa na vilio vya kila aina usiku mzima tifu!Yani Kenge sana danger coy ndo ikawa kama gerezaa...Kina afande hassan aisee walinyoosha watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Demu mbovu hasa yule afande nae kweli kila mtu na macho yake. Kuna kidemu kilikuwa ni Kimatron sema in service bado kalikuwa kanatembea na Maofisa wakike wenye vyeo hivi jamani yule demu ni mzurii hapana aisee nashindwa kumsahau...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Afadhali angekula yule
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Aisee kipele balaa na rungu lake mwehuu yuleee...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Waliaalikanaa yaniii baba yameharibu kazii hukuu yanyeeeeeee....[emoji16][emoji16]labda alidhania ingekuwa kitonga! mkesha wa kesho yake tulikuwa na yule jamaa anaitwa kipele, ule mkesha ulikuwa na vilio vya kila aina usiku mzima tifu!
D mlikuwa na afande wenu yule alikuwa kama ananyoa kipara aliwahi kunipiga konzi kidogo nipoteze fahamu, dah[emoji28][emoji28]!
Aisee kile kijamaa tumehangaika nacho sio poa, mkesha wa kwanza tulifungua nae, mkesha wa mwisho tulifunga nae!! Aisee ilibidi mwisho wa kozi tupewe nyota kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee kipele balaa na rungu lake mwehuu yuleee...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Waliaalikanaa yaniii baba yameharibu kazii hukuu yanyeeeeeee....
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatari sana...!!Aisee kile kijamaa tumehangaika nacho sio poa, mkesha wa kwanza tulifungua nae, mkesha wa mwisho tulifunga nae!! Aisee ilibidi mwisho wa kozi tupewe nyota kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ndio huyo mmoja niliyebakiasiku moja mkuu wa kikosi lt col Meena wa Ruvu 832kj mwaka 1986 alikamata makuruta walikuwa wanatoroka.Akawapakia kwenye gari lake nyuma magari wakati huo yaliitwa Dube.Akawa anawaendesha kuwapeleka kikosini wakapewe adhabu cha ajabu alivofika kati ya waliokamatwa wa5 wanne hawakuwepo waliruka kwenye gari wakakimbia akabakia mmoja tu.
Akasema hawa ndio askari hata vitani wakikamatwa ni raisi kumkimbia adui.
Yule aliyebaki akaambiwa sasa wewe utabeba adhabu za wenzako wote maana ni askari rahisi sana kukamatwa na adui kisha ukaenda kutoa siri wewe ni askari legelege.
Weka chenjaHelen eeeee Helena eeee Helena eeeee kitambaa changu..............................kitambaa changu cha bakabaka nilikuhonga nawe ukahonga.... atar sana
Kikosi chetu Mgambo chapendeza, kiko mkoa wa Tanga wilaya ni Handeni
Ule mshamba wa gendaheka uki kikosini kwenuKikosi chetu Mgambo chapendeza, kiko mkoa wa Tanga wilaya ni Handeni
Ni kikosi cha mafunzo ya kijeshi, yale ya awali...
........
........
Alikuwa na mbavu ngapi ?Sisi kwetu kunaM.P alikuwa anaitwa full kujiachia. Yaani akikupa adhabu anakurusha kichura alafu huku yeye anasema ""utakufa na chako mfukoni kama unacho toa upone"basi ukisikia anasema hivyo ukitoa buku akiliona utasikia "sasa je mambo si ndio hayo?haya simama juu aaapuuuu. hapo adhabu ndio imeisha hivyo yeye anaendakukewa zake.[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni 835 KJ sio 832 KJ,OP Kikwete MGAMBO Jk 832 daah dada wili si akamchoma private kuwa anamtaka alafu alikuwa mtoto wa Mkubwa balaa yani yule Private alipiga magoti mbele ya Kurutu 2000 anamuomba yule binti msamaha alafu demu mwenyewe Mbovuu kinomaa Maafande walitukana balaa yani achaa tuu.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamani baada ya lile tukio Tulikulaaa kazi yanii mateso yale hapanaa ikawa kama Course ya Kadet mamaee week 6 zilikuwa Chungu mnoo kuna siku tulilazwa kwenye Mvua inanyeshaa dadekii kesho yake nikasema wakirudia tena natorokaa yanii napiga mguu kwa mguu mpaka niipate lami...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ilaa baadae nikaja kuwa doja balaa wakagawa vitengo picha linaanza nikakimbilia Upishiii...baadae nikawa nadoji msituni tu sieleweki nipo wapi then nikajiunga Ngoma Coy kwa wazalendo nilikuwa nalala kuanzia asubuhi mpaka jionii naamka kulaa tuu. Nilirudi jeshi shavu hilooo mpaka nikatamani kubaki yani wakanipa na 150k ya nauli enzi hizo za JK mambo safii.
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Hata mm nilishangaa, navyojua 835 ni mgambo, 832 ni ruvu na 834 ni makutoporaMkuu ni 835 KJ sio 832 KJ,
Op ya miaka 50 ya Muungano hapo hapo Mgambo, enzo hizo mzabuni ni Kimbinyiko,
CO ni Meja kanole, captain ni Mberenje, Luteni Masalu RSM muuya, afande mkorofi alikuwa kashoza, Sam na Tungu (MP)
Tumevuna sana mahindi
Tumekula sana dose
Tumenyeshewa sana mvua
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app