Daktari wa Manchester
JF-Expert Member
- Jun 1, 2020
- 350
- 403
ππ€£π€£Mitihani ya moko
Ule ulikuwa ufalaa sanaa.. Niligundua style ya kudojia poriniMabio ya kujitegemea (after lunch) nilikuwa nakuwa wa mwisho kila siku
ππππsanaa aseee, kwa route tuliyokuwa tunapita sisi kudoji haiwezekaniπππUle ulikuwa ufalaa sanaa.. Niligundua style ya kudojia porini
π€£π€£Mitihani Gani Tena mkuuππMitihani ya moko
Mabio ya kujitegemea (after lunch) nilikuwa nakuwa wa mwisho kila siku
Mabio jamaniii mamaee kuna ilee route za jioni mmetoka kula zilikuwa zinakera sana...!! Toka kambini pitia Rest house mpaka kwa Msange na kurudi...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Me nilikuwa narorokea mesi tukitoka kulaa nachanja mwitunii...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sanaa aseee,kwa route tuliyokuwa tunapita sisi kudoji haiwezekani[emoji23][emoji23][emoji23]
Kukata kuni.
Kuchaguliwa kwenda kupata ajira jeshini ilikuwa ngumu, ila kwa wafalme wa nchi (wazanzibar) ilikuwa chap chap tu
huyu atakuwa anaongelea hii ya wiki 3, ππUnazungumzia JKT ya wakongwe au hii ya vodafasta?