Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Habari za asubuhi,

Ni siku nyingine tena Mungu anatupa kibali Cha kuiona siku ya Leo

Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza hapo ju je ni kitu Gani kilikuwa kinakukela kipindi upe jeshini (mujibu wa sheria au uzalendo)

Kiujumla mimi nilikuwa nakeleka sana na mabio yani unakimbia kuelekea kuifuata chai 🤣🤣 ila kwa muda mwingine nilipendelea changer sana nikiwa jeshini

Wewe je?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sanaa aseee,kwa route tuliyokuwa tunapita sisi kudoji haiwezekani[emoji23][emoji23][emoji23]
Me nilikuwa narorokea mesi tukitoka kulaa nachanja mwitunii...
 
Mi niliamua kufanya kila niambiwacho kwa 100%.

Hakuna kutegea, kujificha wala nini.
Na siku nyingine nikimaliza mraba wangu mapema namsaidia yeyote yule.

Kila tabu au adha niliifanya kuwa fursa na raha.

Hiyo kanuni ninaitumia huku uraiani pia hakuna kulialia.
 
Back
Top Bottom