The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
Inasemekana issue za kurogana Sina uhakika sana, kuna dogo wa chuga anasoma pale mwaka Jana tuko geto akawa anatoa hizo storyWe acha basi moshi kafariki?aliumwa ama ilikuwaje mshikaji wangu sana yule nilhama kambi tukapotezana
Duh,kule uchawi sana ukizubaa mwenzio anakuwahi,yaani ni wanataka vyeo balaa nasikia kuna huyo mtu mfupi kakalia TYC mwaka wa kumi huu,akija anayemzidi lazima baada ya wiki ama siku atasepa,yeye ni kapteni miaka hapandi na hashuka,unaambiwa ni moto wa kuotea mbaliInasemekana issue za kurogana Sina uhakika sana, kuna dogo wa chuga anasoma pale mwaka Jana tuko geto akawa anatoa hizo story
Wa Bulombora tupeane hi hapa.Huyu anaongelea hii ya watoto.
JKT ilikua miaka ya 88 kurudi chini.
Enzi za afande Sanga, afande Mlay afande Mtono. Meja Jenerali Mkisi na tabia zake za ajabu.
Kwenye mbuzi alikua anakula Figo tuh. Sasa niambie Figo za mbuzi ngapi anaweza kushiba Jenerali?
JKT ya zile kambi nane.
Oljoro
Mgambo
Makutpora
Msange
Bulombora
Mafinga
Ruvu
Mlale.
Enzi zile kila kitu unakikuta kule kuanzia
Bukta
Green vest
Kombati
Buti
Mess tin Tena mbili
Blankerti
Yaani wewe unakwenda na mwili tu.
Safi sana mkuu umechangia vema hoja hii,kipindi nchi ina heshima na adabu!hapo ninaongezea unalipwa kichele cha 100tshs kila mwezi,mmmm 835 kJ ya LT.COL.MTONO then 837KJ pale Chita jkt nilitoka jeshi nimeiva na ngangari.Huyu anaongelea hii ya watoto.
JKT ilikua miaka ya 88 kurudi chini.
Enzi za afande Sanga, afande Mlay afande Mtono. Meja Jenerali Mkisi na tabia zake za ajabu.
Kwenye mbuzi alikua anakula Figo tuh. Sasa niambie Figo za mbuzi ngapi anaweza kushiba Jenerali?
JKT ya zile kambi nane.
Oljoro
Mgambo
Makutpora
Msange
Bulombora
Mafinga
Ruvu
Mlale.
Enzi zile kila kitu unakikuta kule kuanzia
Bukta
Green vest
Kombati
Buti
Mess tin Tena mbili
Blankerti
Yaani wewe unakwenda na mwili tu.
Eeeh ndohapo lazima uwe imara na wewe.Duh,kule uchawi sana ukizubaa mwenzio anakuwahi,yaani ni wanataka vyeo balaa nasikia kuna huyo mtu mfupi kakalia TYC mwaka wa kumi huu,akija anayemzidi lazima baada ya wiki ama siku atasepa,yeye ni kapteni miaka hapandi na hashuka,unaambiwa ni moto wa kuotea mbali
cha maji [emoji38][emoji38]Kuna ile kazi ya kufata mbolea kwa msukuma duuh[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]ilikua inaniboa sana japo tulikua tukirud tunapitia malimao porini kwa ajili ya mchuzi wa nyama na kupaka kwenye kipara ukinyoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
845 my dear boy and the name is LUWAMbona unaelezea kama miaka ya themanini wakati ruha imeanza juzi tu 846KJ
Makutu mwenzangu weweusinikumbushe mambo ya mraba pale makutu, ilikuwa ni balaa.
Nimepita hapo hanga lenye jina la mondlane ndio nimelala sana miaka mitatu ilionipa ujeuri na dharau mpka leo kazini, viva bulomboraHahaaa pa kibabe labda uniambie 821 kj mkuu. Pengine pote pa kawaida tu huko 841 kj cha ajabu sana labda baridi tu.
Maana nasikia hiyo ndiyo kambi pekee ambayo kuruta wa mujibu na uzalendo wanapiga course na combat za service men/girls badala ya pretty short na green vest. Huko nilisikia adhabu kubwa kuliko zote kwa kuruta ni kumwagiwa maji ya baridi.
Op gani hioMAOVYO OVYO YA PRIVATE MWETA NA MWAMVUA , 821KJ KIGOMA
VIVA EAGLE COY
Alafu chenja inaendelea"asiyependa jeshi letu atoroke,atoroke sa nane za usikuChenja moja hivi
wote :“ singenya maitalala siiiiiiingenya. aiyo mama singenya maitatalalaaaaa
afande: watu wote kunjeni ngumi ( mnasimika) kama hamjasimika utaskia
afande:unajua staki utani,,,,,
hiiii ngoma ya doso ina maovyo ovyo sana [emoji1787]….
Mkuu hapo umechanganya na 'shumbwela mashushu', huo muendelezo upo hukoAlafu chenja inaendelea"asiyependa jeshi letu atoroke,atoroke sa nane za usiku
Mkuu hata shumbwela na hyo singe nyama haitalala iko na melod mbili ile ya polepole ndo wanaongezea asopenda jeshi atorokeMkuu hapo umechanganya na 'shumbwela mashushu', huo muendelezo upo huko
Mimi nilikuwa radio kwenye chenja, ulikuwa ukifika muda wa mchakamchaka watu wote wanahamia kwenye bogi langu.Zambeee mamaaa... Kilimaaa mbeee kilimaaa kilimaaa mbeeee kilimaaa mbeee...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hakuna Nyimbo tamu kama Chenja dunianiii...