Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Aisee mimi nlikua nakereka na jambo moja tuuu yaan

SIKU YA JUMAATANO NI UGALI NYAMA MCHANA SASA ULE MDA WA CHAKULA ULE MNAAMBIWA KURUTI UELEKEO KUZIMA MOTOO

Wale jamaaa sijui walikua wanawasha moto makusudi duuh[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]yan ikifika jtano mzee kinanuka unakuta pori linateketea mzee

824Kj hioo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Utakuwa umepita mikononi mwangu wewe naamini.
 
Kuna ile kazi ya kufata mbolea kwa msukuma duuh[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]ilikua inaniboa sana japo tulikua tukirud tunapitia malimao porini kwa ajili ya mchuzi wa nyama na kupaka kwenye kipara ukinyoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Op gan wewe mkuu
 
Duh,kule uchawi sana ukizubaa mwenzio anakuwahi,yaani ni wanataka vyeo balaa nasikia kuna huyo mtu mfupi kakalia TYC mwaka wa kumi huu,akija anayemzidi lazima baada ya wiki ama siku atasepa,yeye ni kapteni miaka hapandi na hashuka,unaambiwa ni moto wa kuotea mbali
TYC=2ic
 
Daah 821 kuna sir meja (yule anaevaa saa na kifimbo mkononi) aisee jamaa alikua anabiti sana hadi kwa masir meja wa combania…yaani kama kombania yenu haijaleta kuni hamli hadi mueke kuni na pia huchukui chakula bila kufoleni na kwenda na kwata !
Sema vizuri kuna mkuu wa nidhamu Mr RSm ( waranti afsa) aka mteule Huyo ni Mundemba sio mwingine.
 
Mm nilikuwa sipendi kutoa vitanda nje majira ya saa tisa au saa nane usiku ili kudeki ndani na mnaambiwa hadi ndani mkauke then muingize vitanda na mlale. Pili kufunga net muundo wa kitunguu na 3 mnaenda kula mna match anatokea afande cjui mama wakambo mara nyama za bure mara ooh baba chanja then mnaanbiwa nyumaaa geukaaa then mbeleeeeee tembea mnazungushwaaa hadi njaa inaisha. Without forgeting night disco and roll call na hamlali hadi mtimie. Rwamkoma kuna mwewe wanapora sana samaki kwenye sinia
 
838kj Operation Magufuli 2016..
Nlikerwa na vitu vingi sana mpaka nashindwa nianzie wap..
Ila kwa ufupi wale jamaa ni wauaji
 
Back
Top Bottom