Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Kwanza nikupe hongera kwa kufanya maamuzi sahihi ya kuingia kwenye chombo cha ulinzi wa taifa na watu wake...

JKT tofauti na wengi wanavyodhani ni tawi la TPDF likiwa na malengo mahususi ya kuandaa vijana kuwa na maadili ya kitanzania... kwa kifupi jkt haitoi ajira bali inapika/inawandaa vijana kimafunzo kuingia katika nyanja tofauti za ulizi kama jwtz, polisi, magereza, immigration, Tanapa, bandari, intelligence nk nk....

mafunzo ya jkt yapo in four phases ie; uraia, uzalendo, ukuruti, uservice....
1. Uraia
ni phase/cheo kinachodumu kwa si zaidi ya dkk 5-10, mara tu unapowasili katika kambi ya mafunzo utapokelewa kama kanali, utafanya registration ukimaliza utapikwa para la kijeshi (transformation from a citizen to a patriot) hapa hakuna fujo ya aina yoyote...
2. Uzalendo
Hii phase me naiitaga grace period,inalast to about 3-4 weeks hapa hakuna longolongo, its full of harmon.. unalelewa kama yai, ukikwazika unabembelezwa unafutwa machozi, hapa kuna mafunzo ya kawaida sana ushauri kutoka kwa wakuu, story na makamanda, kujifunza kuimba nyimbo za kibattle, its like a form of orientation.... kulala ni saa 3 kuamka saa 12 tena bila karaha...
3. Ukuruti(recrute)
hii ndio kozi halisi ya jkt, me naiitaga a battlefield... mtoto hatumwi sokoni, kama wewe ni mchele mchele lazma utoroke (kuacha unyoya)
inalast kuanzia 6-8 weeks, hapa ni mkesha mwanzo mwisho (omba mungu muwe na instructors wajanja/wachakachuaji) mnachanga vi100-100 hadi 15000-20000, mnalegezewa mkesha... hapa ndipo wakina aisha na joyce wanagegedwa kiulaini...
kuhusu kutokuvua viatu; usipokua mwepesi hii inaweza kukukumba at this phase... kiukweli huu huwa ni wakati mgumu sana, ikikachumbarishwa na intro.course, watu hizimia hadi 100 kulingana na wingi wa makuruti
Ukimaliz hizo wiki 6, japo bado utakuwa ni kuruti lakini ugumu utapunguzwa....
 
Sorry some amendmests...
ukuruti hua anachukua muda wa miezi sita kwa wale ambao sio fresh from form6...
4. U-servise
baada ya kumaliza ukurutu (after swearing to serve the army) utapewa jina/cheo cha uservice we have service man na service girl... utapewa gwanda na kuanza kulitumikia taifa kutokana na fani yako udaktari, uhasibu, ukulima, ufundi, ugavi, mazingira, unesi nk....
lakini kutakua na compulsory duties such as kwenda kulinda eneo la jeshi na nje kidogo na kambi/guard (lkn ni kwa zamu, it can happen once per 3 weeks kulingana na idadi ya makamanda mliopo ktk duty roster)

ask anything kuanzia jkt, jwtz hadu tma <tz millitary academy>

you're welcome
 
safi mkuu kwa maelekezo!! Baada ya u-service kinachofuata nn..na huchukua muda gani?
 
MBIson ramos karibu jeshini.....
uservice ukiisha kifuatacho ni ajira, nikisema ajira namaanisha uhakika japo kama huna bahati it can take upto 1 year unatumikia uservice...
kama nilivyosema hapo awali jkt ni mtambo wa kuandaa vijana kutumika vyombo vya ulinzi; baada ya kuampa wataanza kuja in series kuchukua watu wao; kukuhakikishia wasomi kuanzia ngazi ya form 6(not failure), diploma, degree, masters nk are urgently needed, kwasababu vyombo vya usalama vinahitaji wasomi to cope with modern techno...
pale nilipopiga cozy sikukuta degree/masters holder hata mmoja, wote walishagombaniwa, form6 na diploma waliondoka muda mfupi tu....
 
Last edited by a moderator:
Na je kama ni fresh from school kwa form 6 katika phase ya ukuruti unachukua week au miezi mingapi kumaliza phase hiyo? Kwingineko nimekuelewa sana
 
mjibu maswali nampongeza sana.....sasa muuliza maswali vaa gwanda ingia jkt.Changamoto kubwa kwa vijana ni kwamba mnakula chpsi badala ya ugali, hakuna hata mchakamchaka...nk.
 
Kwanza nikupe hongera kwa kufanya maamuzi sahihi ya kuingia kwenye chombo cha ulinzi wa taifa na watu wake...

JKT tofauti na wengi wanavyodhani ni tawi la TPDF likiwa na malengo mahususi ya kuandaa vijana kuwa na maadili ya kitanzania... kwa kifupi jkt haitoi ajira bali inapika/inawandaa vijana kimafunzo kuingia katika nyanja tofauti za ulizi kama jwtz, polisi, magereza, immigration, Tanapa, bandari, intelligence nk nk....

mafunzo ya jkt yapo in four phases ie; uraia, uzalendo, ukuruti, uservice....
1. Uraia
ni phase/cheo kinachodumu kwa si zaidi ya dkk 5-10, mara tu unapowasili katika kambi ya mafunzo utapokelewa kama kanali, utafanya registration ukimaliza utapikwa para la kijeshi (transformation from a citizen to a patriot) hapa hakuna fujo ya aina yoyote...
2. Uzalendo
Hii phase me naiitaga grace period,inalast to about 3-4 weeks hapa hakuna longolongo, its full of harmon.. unalelewa kama yai, ukikwazika unabembelezwa unafutwa machozi, hapa kuna mafunzo ya kawaida sana ushauri kutoka kwa wakuu, story na makamanda, kujifunza kuimba nyimbo za kibattle, its like a form of orientation.... kulala ni saa 3 kuamka saa 12 tena bila karaha...
3. Ukuruti(recrute)
hii ndio kozi halisi ya jkt, me naiitaga a battlefield... mtoto hatumwi sokoni, kama wewe ni mchele mchele lazma utoroke (kuacha unyoya)
inalast kuanzia 6-8 weeks, hapa ni mkesha mwanzo mwisho (omba mungu muwe na instructors wajanja/wachakachuaji) mnachanga vi100-100 hadi 15000-20000, mnalegezewa mkesha... hapa ndipo wakina aisha na joyce wanagegedwa kiulaini...
kuhusu kutokuvua viatu; usipokua mwepesi hii inaweza kukukumba at this phase... kiukweli huu huwa ni wakati mgumu sana, ikikachumbarishwa na intro.course, watu hizimia hadi 100 kulingana na wingi wa makuruti
Ukimaliz hizo wiki 6, japo bado utakuwa ni kuruti lakini ugumu utapunguzwa....

Mkuu niseme shukrani za dhati kwa kutuwekea wazi na kinaga ubaga mambo yanayojiri huko. Kwa kweli umeeleweka sana, mkuu mi naomba kuuliza kwa wale watu wa shada, ukikamatwa unakula vindo msala wake ni mkubwa sana? Maana hivi vichwa vingine lazima tujiboost na vindo kukaa sawa.
 
kule kunakitu kinaitwa 'wepesi' yani unafanya kosa afu unajisafisha within few minutes, ukiwa wewe ni mzee vindo, unajinyuka vitu vyako kimya kimya kule maporini afu maisha yanasonga...
in any case ukikamatwa, utapewa adhabu kulingana na cheo ulichonacho...
*kama ni raia ama mzalendo utapata msamaha ama vizoezi vya kizushi....
*kama ni kurutu (utakula doso/kazi) utachakazwa kwa mazoezi ya kijeshi, ni hatarrrr
uzuri jeshi sasa hivi linazingatia haki za binadamu na afya kwa ujumla so kuna baadhi ya mazoezi yamefutwa mf beba dunia, bakora/fimbo, mabanzi/makofi ya usoni (slap)
*ukiwa service kuna adhabu ya kuenda lindo za usiku kwa siku kadhaa...
wrlcome
 
mjibu maswali nampongeza sana.....sasa muuliza maswali vaa gwanda ingia jkt.Changamoto kubwa kwa vijana ni kwamba mnakula chpsi badala ya ugali, hakuna hata mchakamchaka...nk.

Weeee acha kabisa, hapa kwenye ukuruti na uservice kiasi kuna mazoezi, walahi ukimpa raia kama wewe lazma uchizike.....
mchakamchaka dairly hadi mara 6 kwa siku, kuna route match upto 80 KM roughly
 
Na je kama ni fresh from school kwa form 6 katika phase ya ukuruti unachukua week au miezi mingapi kumaliza phase hiyo? Kwingineko nimekuelewa sana

Intake yetu (intake ya kibeto) tulipiga ukuruti for almost 3 monthes lakini hatukufaidi uservise kabisa we took about 1 week to serve as service man/girl....
welcome
 
kule kunakitu kinaitwa 'wepesi' yani unafanya kosa afu unajisafisha within few minutes, ukiwa wewe ni mzee vindo, unajinyuka vitu vyako kimya kimya kule maporini afu maisha yanasonga...
in any case ukikamatwa, utapewa adhabu kulingana na cheo ulichonacho...
*kama ni raia ama mzalendo utapata msamaha ama vizoezi vya kizushi....
*kama ni kurutu (utakula doso/kazi) utachakazwa kwa mazoezi ya kijeshi, ni hatarrrr
uzuri jeshi sasa hivi linazingatia haki za binadamu na afya kwa ujumla so kuna baadhi ya mazoezi yamefutwa mf beba dunia, bakora/fimbo, mabanzi/makofi ya usoni (slap)
*ukiwa service kuna adhabu ya kuenda lindo za usiku kwa siku kadhaa...
wrlcome

Asante sana mkuu, vp kuhusu vifaa vya mazoezi? Au kuna muda wa mazoezi binafsi apart from mazoezi ya wote?
 
Vifaa vya maziezi vipo tele, lakini unahitaji kuwa na vifaa vyako kama sports boots, jersey nk.....
Apart fron mazoezi ya wote PT physical training, kuna mazoezi binafsi... hii ipo baada ya kukamilisha 6 weeks za mkesha... michezo yote ambayo ni common utaikuta, its your choice...
hawa jamaa huwa wanatoa preferance sana kwa athletes, hasa FB na kikapu, kama una kakipaji ka uwanjani utakula mteremko asreee
 
Njoo upikwe kaka,acha woga karibu sana huku.....

Mike acha niyaibie ronja haya maraia, hayana wema, eti wanazani kule ni piknik au kitchen party, yaje na camera, lipshine na series za kikorea
si unajua usipoyaonjesha utamu yanaweza acha nyoya,, kama kawa raia haoneshwi nacoz, ukimwonesha anaeza akaacha kulitumikia taifa aende kutumikia bar (bar maid)
 
Vifaa vya maziezi vipo tele, lakini unahitaji kuwa na vifaa vyako kama sports boots, jersey nk.....
Apart fron mazoezi ya wote PT physical training, kuna mazoezi binafsi... hii ipo baada ya kukamilisha 6 weeks za mkesha... michezo yote ambayo ni common utaikuta, its your choice...
hawa jamaa huwa wanatoa preferance sana kwa athletes, hasa FB na kikapu, kama una kakipaji ka uwanjani utakula mteremko asreee

Hapo safi mkuu maana mzuka wangu ni kunyanyua vitu vizito.
 
Vifaa vya maziezi vipo tele, lakini unahitaji kuwa na vifaa vyako kama sports boots, jersey nk.....
Apart fron mazoezi ya wote PT physical training, kuna mazoezi binafsi... hii ipo baada ya kukamilisha 6 weeks za mkesha... michezo yote ambayo ni common utaikuta, its your choice...
hawa jamaa huwa wanatoa preferance sana kwa athletes, hasa FB na kikapu, kama una kakipaji ka uwanjani utakula mteremko asreee

Na uwa mnachanganywa na wale wa kujitolea?
 
Kwanza nikupe hongera kwa kufanya maamuzi sahihi ya kuingia kwenye chombo cha ulinzi wa taifa na watu wake...

JKT tofauti na wengi wanavyodhani ni tawi la TPDF likiwa na malengo mahususi ya kuandaa vijana kuwa na maadili ya kitanzania... kwa kifupi jkt haitoi ajira bali inapika/inawandaa vijana kimafunzo kuingia katika nyanja tofauti za ulizi kama jwtz, polisi, magereza, immigration, Tanapa, bandari, intelligence nk nk....

mafunzo ya jkt yapo in four phases ie; uraia, uzalendo, ukuruti, uservice....
1. Uraia
ni phase/cheo kinachodumu kwa si zaidi ya dkk 5-10, mara tu unapowasili katika kambi ya mafunzo utapokelewa kama kanali, utafanya registration ukimaliza utapikwa para la kijeshi (transformation from a citizen to a patriot) hapa hakuna fujo ya aina yoyote...
2. Uzalendo
Hii phase me naiitaga grace period,inalast to about 3-4 weeks hapa hakuna longolongo, its full of harmon.. unalelewa kama yai, ukikwazika unabembelezwa unafutwa machozi, hapa kuna mafunzo ya kawaida sana ushauri kutoka kwa wakuu, story na makamanda, kujifunza kuimba nyimbo za kibattle, its like a form of orientation.... kulala ni saa 3 kuamka saa 12 tena bila karaha...
3. Ukuruti(recrute)
hii ndio kozi halisi ya jkt, me naiitaga a battlefield... mtoto hatumwi sokoni, kama wewe ni mchele mchele lazma utoroke (kuacha unyoya)
inalast kuanzia 6-8 weeks, hapa ni mkesha mwanzo mwisho (omba mungu muwe na instructors wajanja/wachakachuaji) mnachanga vi100-100 hadi 15000-20000, mnalegezewa mkesha... hapa ndipo wakina aisha na joyce wanagegedwa kiulaini...
kuhusu kutokuvua viatu; usipokua mwepesi hii inaweza kukukumba at this phase... kiukweli huu huwa ni wakati mgumu sana, ikikachumbarishwa na intro.course, watu hizimia hadi 100 kulingana na wingi wa makuruti
Ukimaliz hizo wiki 6, japo bado utakuwa ni kuruti lakini ugumu utapunguzwa....

mkuu ningeomba ufute post yako unamwaga siri za jesh kaka hayo mambo hayasimliw popote.... Ndio maana ya vile vpind uvumiliv, ushirikiano na utimamu wa mwili.
 
Mike hakuna al shabaab humu wala M23, by the way sijawaibia ronja za maana...
ningetundika mizigo ya hamara, range, porini nk, walai ningefuta zote, lakini kwa haya madogo madogo, lets give them for grant, si unajua lazma tumobilize wasomi waende kukomboa jeshi letu lililojaa illiterates...
of coz nafuata principle codes za kibattle....
*uvumilivu: nawatonya wawe wavumilivu yote yanamwisho
*ushirikiano: yani hapa nimewapa zaidi ya ushirikiano hawa officer cadets to be, no doubt on that...
*utimamu wa mwili: likewise nothing violated
. ::: waziiii:::
 
Mkuu wewe ulienda kwa mujibu wa sheria au Kujitolea? Na hawa wa kujitolea na mujibu wa sheria uwa wanachanganywa au vp
 
Back
Top Bottom