Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
ELMU yangu cha nne ntaptaje mchakato huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ELMU yangu cha nne ntaptaje mchakato huo
Mkuu wewe ulienda kwa mujibu wa sheria au Kujitolea? Na hawa wa kujitolea na mujibu wa sheria uwa wanachanganywa au vp
ELMU yangu cha nne ntaptaje mchakato huo
donlucchese ulijuaje hiyo rangeSafi sana mkuu, ofcourse zile privileged information zipo katika need-to-know basis kama range etc. I knw 'em.
Mimi nilienda kwa mujibu wa sheria (fresh from school)
kwenye intake yetu tulichanganywa pale mwanzoni kuanzia uraia, uzalendo na ukuruti lakini badae tukatenganishwa kwasababu ilibidi tuharakishe tupige kwata ya mwisho tuondoke kutokana na matakwa ya wizara ya ulinzi na mafunzo ya jkt...
believe me jeshini hakuna double standard hata siku 1, wote mnachukuliwa kama kitu kimojs si mwanamke, si mwanaume, si msomi nk.
Ndugu asante sana kwa info zako nzuri Mungu Munguakubarikidonlucchese ulijuaje hiyo range
Uzi una adabu sana,watie moyo vijana
donlucchese ulijuaje hiyo range
Thanks sana man!
Naomba kuuliza utaratibu ukoje wa kuchukua graduates jkt wakati umri wao unakuwa umeenda compared with form 4 and 6?
Samahan mkuu,vp kama post imetoka halafu upo mbal na wilaya yako ulipozaliwa vp kama unamtu anaweza kukusaidia ukaingia jeshin bila kusail wilayan bt kw jia halali akanisaidia baada ya post kutoka inawezekana??
Kuna principles 2 Jeshini kama ukizifuata ni mteremko mwanzo mwisho
*fungua moyo, yani chukulia kila kitu kama mafunzo and not otherwise...fanya vitu toka moyoni
*kuwa na morari, bila hii kitu ndg yangu lazima utausoma mziki wake...
vitu vya kawaida sana, mbona kulichua na madada wengi na walimaliza kozi....