RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
Walianza siku nyingi hawa watu.Shkuba hayo majina mbona yana element za utapeli? Si ndio huyo aliyekuwa anauza Ngada? Scuba na magari wapi na wapi? Scuba si Hardware na Fremu tu?
Walianza siku nyingi hawa watu.Shkuba hayo majina mbona yana element za utapeli? Si ndio huyo aliyekuwa anauza Ngada? Scuba na magari wapi na wapi? Scuba si Hardware na Fremu tu?
Mwaka gani!?Huyu si ailipiga mabilioni barclays -ABSA Family?
The big mayaiNyingine zilikuwa Pop Juice, Master Top nk. Hizi zilikuwa zinapaki Magomeni Mapipa opposite CRDB Morogoro Road.
Nyingi zilikuwa ni Coaster za 3B engine ndo zikafuata Coaster Box Body.
El Sakaran ilipata ajali mbaya mno maeneo ya Mwidu 1991 au 2
Around 2008.Mwaka gani!?
Nilikuwa sipandi 505 Peugeot nasubiri Bazuu hadi ifike niende Namanga, ushabiki buana!Wengi hata Bazuu Washawasha hawaijui.. Baraka ya type and comments matusi tuu..
Na pacha wake mkubwa CatThe big mayai
Yeah, kituo kilikuwa Mapipa hiyo CRDB hata siifahamu. Mimi ni mmoja wa tuliomiliki hizo gari. 3B ni engine tu bro, gari model kwa coaster ni BB 10 na 11(waliita dungu), BB20, 21, 30, 31(double coaster)Nyingine zilikuwa Pop Juice, Master Top nk. Hizi zilikuwa zinapaki Magomeni Mapipa opposite CRDB Morogoro Road.
Nyingi zilikuwa ni Coaster za 3B engine ndo zikafuata Coaster Box Body.
El Sakaran ilipata ajali mbaya mno maeneo ya Mwidu 1991 au 2
Ndio ni 1991 uso kwa uso na Scania ya Wade Adams. Siku kabla ya ajali tumezungusha trip za kutosha mimi nikiwa napiga ya tatu kurudi moro usiku nikagonga maeneo ya Pingo, kesho yake niko Chalinze natengeneza gari ndio habari za ajali ya Sakran.Nyingine zilikuwa Pop Juice, Master Top nk. Hizi zilikuwa zinapaki Magomeni Mapipa opposite CRDB Morogoro Road.
Nyingi zilikuwa ni Coaster za 3B engine ndo zikafuata Coaster Box Body.
El Sakaran ilipata ajali mbaya mno maeneo ya Mwidu 1991 au 2
Ilihuzunisha sana.Ndio ni 1991 uso kwa uso na Scania ya Wade Adams. Siku kabla ya ajali tumezungusha trip za kutosha mimi nikiwa napiga ya tatu kurudi moro usiku nikagonga maeneo ya Pingo, kesho yake niko Chalinze natengeneza gari ndio habari za ajali ya Sakran.
Enzi hizo Morogoro ilikuwa hot kinoma,weekend vijana walikuwa wanaenda Mdebeni Moro,Scaba scuba, ilikuwa ni Mitsubishi Rosa nyekundu six cylinder. Enzi zile gari nyingi zikikuwa zikifanya safari 3 x 2. Kulikuwa na Camp Safari, Jongwe, El Sakran, Sansui, Accountant, Red Rooster, Cheetah, Uvikiuku, Selungwi, Wagala, Balhabou niishie tu hapo.
Kweli mkuu. Ila Manzese ilikuwa stendi ndogo. Zilikuwa zinatoka gari 2 zaidi 3 kwa siku.Hizi coaster zilikuwa zinatumika kama mpokezi wa abiria wa Treini mara nyingi tulikuwa tunashukia moro tunapanda hizo bus mpaka Dar. Stand ilikuwa Manzese msufuni. Humu ndani hawa watoto waliojazana humu hata hawajui.
🤣🤣Majina ya madereva sasa, kulikuwa na Mitoso, Chuji, Giriki Evans, Ndaza, Njenje, Nyambi, Watanga dah kweli siku hazigandiWahenga naona mko kijiweni mnakumbushiana enzi za ujana.
Scaba scuba, ilikuwa ni Mitsubishi Rosa nyekundu six cylinder. Enzi zile gari nyingi zikikuwa zikifanya safari 3 x 2. Kulikuwa na Camp Safari, Jongwe, El Sakran, Sansui, Accountant, Red Rooster, Cheetah, Uvikiuku, Selungwi, Wagala, Balhabou niishie tu hapo.
Enzo tamuScaba scuba, ilikuwa ni Mitsubishi Rosa nyekundu six cylinder. Enzi zile gari nyingi zikikuwa zikifanya safari 3 x 2. Kulikuwa na Camp Safari, Jongwe, El Sakran, Sansui, Accountant, Red Rooster, Cheetah, Uvikiuku, Selungwi, Wagala, Balhabou niishie tu hapo.
Yaani mengi tu. Kriss Kross pia nimeikumbuka GoGuGu Line, journey L ya shule ya viziwi pale KariakooKulikuwa na easy come easy go
Dereva salum ujiko zilikuwa mbili hizi ingine dereva watanga konda marehemu tembo mtoto Isuzu journey za mzee bihonyi